Nashindwa kulielewa hili gari

Mzee gari hizo mafundi ni wawili ninawajua, yupo huyu mwamba JituMirabaMinne kuna mwamba mwingine anaitwa ivan yupo mwenge pale yeye ana deal na gari za Ulaya tu,ukihitaji contact Zake nitakupasia.

Achana na mafundi wapiga ramli, utanunua spea mpaka uombe poo.
 
kusema kweli naipenda sana hii gari ila imenivunja moyo sana iko vizuri sana kimwonekano ntairudia tu siku moja, naipenda sana interior na body shape nilikua najiona mtu kuiendesha lakini pia niliuziwa kwa exchange na mark x
Typical mind za kibongobongo. Unafanya kitu ili ''kuwatesa'' watu. Hujali uwezo uwezo wako wala huna plan yoyote!
 

Mkuu naomba niPM namba zao ama address zao
 
Chukua Lexus LS 460.. ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Umefika Ulaya wewe? Mbona hizo gari ndiyo zipo nyingi na lalamishi kama hizi zako hamna! Mafukara acheni kuparamia magari hovyo jamani!
 
Nakuunga mkono na mguu. Hakuna kitu kama ''gari yenye stress'' ila kuna watu wenye stress wanaonunua magari kwa pupa huku hawana fedha za service na spare!
 
kusema kweli naipenda sana hii gari ila imenivunja moyo sana iko vizuri sana kimwonekano ntairudia tu siku moja, naipenda sana interior na body shape nilikua najiona mtu kuiendesha lakini pia niliuziwa kwa exchange na mark x
Kama unaipenda hio gari jikaze nunua kadi za kununua vitu mitandaoni agiza hio fuel pump pia nunua diagnosis code usiwe mzembe mzembe si unapends vitu vya kizungu..adopt maisha ya kizungu hadi inafika bongo hio fuel pump ni $130.2 (315,000 tshs) ushuru kimtindo hapo weka bugdet 400,000 duka ni website ni spareto.com na screenshots nimekuwekea hapo...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • Screenshot_20220628-194208_Samsung Internet.jpg
    88.7 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220628-194157_Samsung Internet.jpg
    80.4 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220628-194134_Samsung Internet.jpg
    93.3 KB · Views: 12
Youtube inapelekesha wabongo wengi sana kuamini mambo sivyo. Mtu akiona clip moja mbili imetoka kwa kilaza mmoja huko0 USA anaona ni kweli. Hakuna sehemu yenye upotoshaji kama social media kama hujui kuchambua na kufanya research ya kina.
 
Tazama chemba ya mirija kwenye gear box huenda hydrolic haiendi ya kutosha
 
Mkuu neno ''kutesa'' lina maana zaidi ya kutesa. Kama alivyosema mwenyewe ulikuwa ukiendesha ''unajiona mtu'', ndiyo kutesa huko.

Ni self satisfaction it doesn't mean to make others feel inferior ni kama mtu mwingine anavyopenda kujenga nyumba kali hainifanyi mimi naependa kupanga kufeel inferor.
 
Ni self satisfaction it doesn't mean to make others feel inferior ni kama mtu mwingine anavyopenda kujenga nyumba kali hainifanyi mimi naependa kupanga kufeel inferor.
Haya ni kwa nchi zilizoendelea. Lakini kwa Bongo sidhani. Utamaduni wetu umejijenga kwenye ''kutesa'' na ''kuteseka''.
 
Reference Kwa Shemeji Yangu.

Jamaa anatia huruma, ana BMW 5 Series sawa na ya mtoa mada Ila kila siku analalamika.
Unajua kununua magari kwa wengi wetu bado ni kitu kigeni. Unaponunua gari unatakiwa ujuwe kuwa gharama ya kununua + gharama ya kulimiliki (kuliendesha) Miaka ya 2002 wakati watu ndiyo wanaanza kununua magari kwa wingi kuna jamaa mmoja yeye akaona abebe Ranger Rover kabisa. Haikuisha hata mwezi akalipaki kwa sababu ya ''kunywa mafuta kama jini.''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…