Nashindwa kulielewa hili gari

Hahaha wewe utapigwa tukio Hilo gari utalikimbia


Sina mengi utaleta ushuhuda humu.
 
😅😂 sasa hivi kinacho endelea humu ktk huu uzi ni:-
Vita ya European Cars Vs Japanese Cars...
Halafu vita nyingine ni Wamiliki wa magari Vs Wenye ndug/marafik wenye magari...
Vita ya tatu ni Wajuaji wa magari Vs Wajuaji wa story za vijiweni...

Me binafsi niliambiwa na watu na nikasoma ktk mitandao kwamba Subaru zinakula wese, hazitengenezeki, ni mbovu, spare gharama n.k...
Nikajiuliza ina maana hawa watengeneza magari huko ulaya na asia ni wapuuzi watengeneze magari yenye shida kias hiko..? Nikajiambia sisi WaTz ndio tuna ushamba na hatuna exposure na haya magari...
Nikasema acha ninunue Subaru nione itakuaje, by that time ujuzi wangu kuhusu magari nilikua najua kuendesha, kubadirisha tairi na betri na kuosha gari 😅 hadi leo ni 5yrs Subaru ipo haijawahi kunisumbua. Watu walikua wananihesabia mwezi miezi mwaka hadi wamechoka, na wengine wengi wameamua kununua Subbie kwasabab yangu baada ya kuona kama hadi huyu ng'ombe kamilik Subbie basi na sisi tunaweza...
Mimi hadi leo I know nothing about spare za magari kwasabab nazingatia service/check-up kwa muda muafaka, ninachojua ni aina za oil ambazo ni recommended kwa Subbie... 😂😅 Sasa unakuta mtu anamiliki IST lakini anajua kila aina ya spare, kwanini..? Kwasabab hafanyi service hadi gari iharibike, kwa mtindo huo utaacha kujua akina fundi maiko wanapatikana wapi?😅
Halafu unanunua gari mbovu kwa Mtanzania mwenzako unakuja kumsingizia Mzungu...
WATANZANIA HATUJUI LOLOTE KUHUSU MAGARI, HATUNA EXPOSURE NA HATUTAKI KUJIFUNZA NA KUFUATA MAELEKEZO, NDIO MAANA KILAKITU TUNAONA HAKIWEZEKANI...
 
Youtube inapelekesha wabongo wengi sana kuamini mambo sivyo. Mtu akiona clip moja mbili imetoka kwa kilaza mmoja huko0 USA anaona ni kweli. Hakuna sehemu yenye upotoshaji kama social media kama hujui kuchambua na kufanya research ya kina.
Kwamba wewe unaweza kubishana na Scott kilmer sio? Hakika zamani ilikua mtu anafunua chupi anakutana na tako Ila kwa sasa mtu anafunua tako anakutana na chupi(Bikini)
 
Ground clearance yake haikusumbui?
We jamaa ukiona sedan unaiona kama chapati sio? Kwamba inatambaa?

Sema niwe mkweli, natoboaga sana flexible pipes za exhaust kwenye barabara mbovu. Nimekaa Dom mwezi barabara nzuri sijaigusa, nimefika tu Dar in two weeks jana nimeingia mahali nikaskia imegota. Muda si mrefu nikapata matokeo, inavuja exhaust. Kwenye underbody ya Fuga flex pipe ndio iko most exposed.

Sedan zina hasara zake na raha zake.
 
Ni self satisfaction it doesn't mean to make others feel inferior ni kama mtu mwingine anavyopenda kujenga nyumba kali hainifanyi mimi naependa kupanga kufeel inferor.
Bongo haiwezekani kutokana na miundombinu ,unapita asubuhi freshi unarudi jioni unakuta Kuna tuta tena la gogo la mnazi ukiuliza oooh Kuna mtoto alisukumwa na pikipiki sasa self satisfaction ni ferali utaibeba
 
German cars are known for being unreliable worldwide, wabishi can Google that for themselves. Kununua BMW bongo afu ya zamani ni tatizo la kujitakia. Huo ni mwanzo tu utaliuguza Hadi uchoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…