Mbona hela kidogo sana sasa ukiambiwa control box yake milioni utaweza kweli300k
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hela kidogo sana sasa ukiambiwa control box yake milioni utaweza kweli300k
Modern cars kuanzia 2002 zina computer. Huko ndio kunawekwa maelezo yote yanayolihusu gari hilo. Likitokea tatizo kubwa kwanza engine management light inawaka na unatakiwa usome kutoka kwenye computer kujua chanzo. Ukianza kubadili vitu bila kusoma humo utamaliza hela na usijue shida iko wapi.Nimenunua BMW 5 series 2006 kwa mtu ikiwa fresh nimeendesha kama mwezi ilikuwa poa mpaka nilipompa jamaa alikuwa na safari ya Bagamoyo aliporudi nikaichukua kuendesha kidogo nikaona kama nakanyaga sana mafuta gari haiendi.
Nimeenda kwa fundi akasema shida plug nikanunua zikafungwa baada ya kuendesha naona mambo ni yale yale. Nikamuuliza fundi mwingine kasema nibadilishe pump, sijawahi kumiliki BMW before naomba uzoefu wenu wadau kabla sijanunua tena fuel pump.
Bei ya kawaida sana hiyo..300k
Ha ha ha ha....Wkt unainunua hio bimmer ulikua ukiambiwa khs Parts unasema kwa sauti kibabe huku ukijipiga piga kifua 'Dunia Ni kijiji nitaagiza online',[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1].
Pambana mkuu
Huu Ni upotoshajiBMW, Benz, Audi usinunue used toka Japan au mkononi kwa mtu. Hizo brands gari zao ni mbovu hatari,zimetengenezwa hivyo makusudi.
Manual Ni kiboko ya waazimaji[emoji4]Au Nunua manual
Wazee wa kuagiza online wanapotosha vijana Sana[emoji4]Hahahah ndio wale wale wa "Tatizo wabongo mmekariri Toyota tu" [emoji23][emoji23][emoji23] Gari ya mzungu haina shida spea za kumwaga tu sikuhizi
Mkuu wabongo washazoea service ni kumwaga oil tu, tena hapo bajeti unakuta kaweka top top elfu 50. Oil ya 30k, filter 10k na fundi 10k. Mbongo kupeleka gari garage ikakaguliwe yote hafanyi hiyo kazi hata akiwa na safari ya kwenda mbali atamwaga oil tu tena hapo kama imemaliza au imekaribia kilomita. Tyre wananunua hizi za kichina na hapo kubadilisha ni mpaka iwe kipara. Tyre za kichina sio reliable kabisa, tena hasa kwa safari ndefu ila kwakuwa tunapenda vya bei rahisi tunaona poa tu.Mimi nilikaa na BMW 318 miaka mitatu bila shida yoyote mpaka nikaiuza...Fata tu maelekezo ya service tu.
Uko sawa mkuu.,Hapa kwetu watu wanamiliki magari kwa ushabiki na sio kujua gari lipate SERVICE aina gani...Mkuu wabongo washazoea service ni kumwaga oil tu, tena hapo bajeti unakuta kaweka top top elfu 50. Oil ya 30k, filter 10k na fundi 10k. Mbongo kupeleka gari garage ikakaguliwe yote hafanyi hiyo kazi hata akiwa na safari ya kwenda mbali atamwaga oil tu tena hapo kama imemaliza au imekaribia kilomita. Tyre wananunua hizi za kichina na hapo kubadilisha ni mpaka iwe kipara. Tyre za kichina sio reliable kabisa, tena hasa kwa safari ndefu ila kwakuwa tunapenda vya bei rahisi tunaona poa tu.
Gari ya kizungu lazıma ukubali kila baada ya miezi sita at least uipeleke check up, tena sio zile chini ya mti ni ile unakabidhi gari na email yako wewe unaendelea na mambo yako. Check up ikiwa tayari unakutana na Invoice kwenye email unalipa unaenda na slip yak unachukua mali yako na guarantee juu.
Nilijisikia fahari sana nimepeleka gari service siku naenda kuchukua nikakaa na Muhasibu wao kuongea akaniambia ile garage Mzee Jakaya ndio garage ya magari yake. Na wala bill haikuwa kubwa, walikagua gari na wakatoa spare ambayo waliona inaelekea mwisho wakaweka nyingine basi, ningepeleka chini ya mwembe vingebadilishwa mpaka vizima ili kazi iwe kubwa na wao apate pesa nyingi.
Kaamua kupotosha maksudi. Alafu anachoposha hata logic inakataaHuu Ni upotoshaji
Upotoshaji kivipi chief?Manual Ni kiboko ya waazimaji[emoji4]
Umenielewa vizuri au umekurupuka kunijibu bila kuelewa. Punguza wenge, soma tena nilichosema halafu urudi tena....Unahitaji uelewa gani katika kununua gari ?
Hakuna gari ambayo ni stress, mtu kama hama hela anaanza singizia gari, ni vyema kupita kushoto kama mfuko unapepea kama mawimbi ya redio, unachukua kinachofanana na wewe. Kila siku wenye hela zao wananunua hizo BMW , RR , Benz hawana hizo ngonjera zenu ..
Acha ushamba .. Kasome ulicho andika, soma nilicho andika alafu utajiona ulivyo makamasiUmenielewa vizuri au umekurupuka kunijibu bila kuelewa. Punguza wenge, soma tena nilichosema halafu urudi tena....
Tazameni hii video halafu mshushe comments zenu,hii in service ya 2001 BMW 3 series. Kabla hazijawa complicated zaidi.
Gari kumiliki kwa amani, uwe na pesa tuKumiliki gari ya mzungu kunahitajika Akiko na kujitambua
Eh hii kali, ndimu na pilipili vimekolea!!!BMW, Benz, Audi usinunue used toka Japan au mkononi kwa mtu. Hizo brands gari zao ni mbovu hatari,zimetengenezwa hivyo makusudi.