JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
Mimi nna SVR autobiography. Chawa wewe umekuja kunianika humu nimekutuma?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Kachezee koki, maana naona ndio kitu kinafanya uendelee kuishi hapa duniani..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nna SVR autobiography. Chawa wewe umekuja kunianika humu nimekutuma?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Kachezee koki, maana naona ndio kitu kinafanya uendelee kuishi hapa duniani..
Kila kitu kinawezekana.. kuwa wa SVR wewe sio wa kwanza na sio kuwa wa mwisho. Sinaga ukaribu wapumbav.u kama wewe na mwenye mantality ya kimaskini namna hiyoMimi nna SVR autobiography. Chawa wewe
Hahaha dah nimecheka Sana mkuu! Kweli kabisa dunia ina mambo mengi hlf mda mchacheMadere wengi wa BM waone tu wanavimba ila wana stress.
Mkuu ni kweli umetetemesha,Sawa utatengeneza omba mungu itulie,je ikizingua kitu kingine tena? Ndo utakuwa mwanzo wa kufilisika Mzee.Bado nipo ndani ya gari nimekaa sijala na siskii njaa haya magari yanazingua asikwambie mtu nimepongezwa sana ofisini sijui naingiaje kesho nilimtetemesha mpaka HR ila lazima nitengeneze no way
Inataka brake na mafuta kwa pamoja.Imezima mitaa ya vingunguti nikawasha, nikama haitaki niachie mafuta sana kwahiyo kwenye kona niingie mazima ndani nasikia petrol harufu
Hata mie kumnyima gari mtu wangu wa karibu siwezi, ikiwa na mie huwa nachukua magari za watu. Ila ikitokea hitilafu huwa narekebisha mwenyew.Huwezi kukataa sometimes jamaa nimetumia sana Allion yake so siwezi kugoma kuazimisha ikowa mimi huazima
Ukiacha utunzaji lakini pia upatikanaji wa spare pia ni tatizo. Hizo Prado na nyingine sio kwamba haziharibiki lakini pia ukipata breakdown kupata fundi na spare popote kwenye kamji ni rahisi..Magari ya ulaya either ni soft sana au hatujui kuyatunza.
Jamaa yangu anafanya kazi za kuvuta magari mabovu sana sana kutoka mikoani. Anakwambia gari anazovuta mara kwa mara ni Audi Q7, VW Touareg, Discovery 3 na 4. Kwa ufupi ni vimeo, hakuna siku utasikia Prado imefia mkoani inaitaji kuvutwa 😂😂😂
Nakupa homework moja, siku angalia magari ya IT yanayoelekea nchi za wenzetu alafu fananisha na yetu.. Ni mentality tu sio ishu za hela wala nini. Wakenya tu hapo jirani wametupiga gap la kutosha tuGharama si zilezile tu kama wana hela je wasinunue? Ishu iko pale pale spea bei ghali iwe dar au lubumbashi. Kote kuna wenye hela na walalahoi.
Mkuu hii tu imekufanya ukate tamaa hivyo?300k
Sio atafute, bali akutafute umsaidie..
Mzee gari hizo mafundi ni wawili ninawajua, yupo huyu mwamba jitu, kuna mwamba mwingine anaitwa ivan yupo mwenge pale yeye ana deal na gari za Ulaya tu.
Show me luxury car ambayo ni reliable hata kama ni toyota.German cars are known for being unreliable worldwide, wabishi can Google that for themselves. Kununua BMW bongo afu ya zamani ni tatizo la kujitakia. Huo ni mwanzo tu utaliuguza Hadi uchoke
Anajiita Fundi Magari TzKwa kweli Sina namba zake ila ukishuka Sinza Kumekucha pale Kanisa la KKKT utakuta magari ya gharama yamepaki kama BMW na mengine ujue NDIO Hapo. Wacha pakuche nicheki na Jamaa wanipatie namba
Haya magari yote yalikuwepo nchi ilipofunguka miaka ya zamani peugeot, land Rover, benz, Volvo, Renault ila toyota alikuja ku take over bongo kwa sababu ya urahisi wa spea kwa wananchi wa kawaida hayo mengine bado wananunua watu wenye ukwasi wa kujiaminiNakupa homework moja, siku angalia magari ya IT yanayoelekea nchi za wenzetu alafu fananisha na yetu.. Ni mentality tu sio ishu za hela wala nini. Wakenya tu hapo jirani wametupiga gap la kutosha tu
Sijasema hawapo.. Nimesema ninaowajua mimi..Mafundi wapo mkuu.
Mimi sipo mjini. Nimetoka kidogo. Nipo kijijini huku. Kuna muda hata namba yangu haipatikani.
Hilo la magari ya IT, nakuunga mkono kuna gari kali zinapita pale mbezi hatari sana, wabongo tuna mentality mbaya sana.Nakupa homework moja, siku angalia magari ya IT yanayoelekea nchi za wenzetu alafu fananisha na yetu.. Ni mentality tu sio ishu za hela wala nini. Wakenya tu hapo jirani wametupiga gap la kutosha tu
Hakuna Luxury car yenye spea za bei rahisi. Kama ipo itaje.Sasa hilo mbona liko wazi tena wabongo au wewe riziwani uko ulaya out of touch na reality? Of course watu wanataka usafiri ila wanataka spea rahisi kwani huo ni muujiza kwa nchi maskini kama Tanzania? Au nyie mna hela mnashangaa mtanzania kuona gari za Europe zinagharama kwenye spea? Huo ndiyo ukweli.
Kwamba hapa Bongo wenye Mercedes,Audi,Bimmer etc likizingua under warranty hua wanayarudisha ulaya kufanyiwa service sio? 😄😄😄😄😄Hizo warranty ni limited kulingana na nchi sasa bongo kama hawapo utagharamia usafiri wa kulipeka ulaya lifanyiwe service na kulirudisha bongo?
Service ya kitu gani hio inafika 6m mkuu?Mentality za kifukara hizo mkuu, nakushauri achana nazo. Hakuna service ya million 20 labda gari iwe imeanguka. Nilikaa na yule muhasibu nikaongea nae sana, service na check up za kawaida bill kubwa aliyoniambia ni Million 6, tena hapo ni gari ina worth more than 200m. Sasa kweli mtu anaafford kununua gari zaidi ya millini 200 ashindwe service ya 6M tena hapo unakuta anapeta miaka kadhaa bila service ya gharama hivo tena?
Subiri nikupe hii, kuna rafiki yangu alikuwa anatoka mkoa kują Dar, njiani gari ilimsumbua kama mara mbili na kote alikuwa akisimama anaita mafundi wanatengeneza anaendelea na safari. Alivyofika Dar baada tu ya siku lile tatizo likaanza upya, nikampeleka hapo kwa hao jamaa, ilibidi tuombe warekebishe kwa express maana alikuwa na safari ya kurudi mkoa tena. Gharama aliyotumia pale haikuzidi elfu 35 na walitibu tatizo kabisa. Lakini huko njiani alikotengeneza alinunulishwa mpaka pump mpya wakati tatizo hata halikuwa pump.
Ndo nilichokisema au umesoma vibayaHakuna Luxury car yenye spea za bei rahisi. Kama ipo itaje.