Karne
JF-Expert Member
- Jun 13, 2016
- 8,118
- 13,547
Hicho kitu kidogo kisichokusumbua leo ndiyo kichomi cha kesho.😁.Imepona kuna kitu kidogo nado lakini hakinisumbui bajeti ya bia imekata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho kitu kidogo kisichokusumbua leo ndiyo kichomi cha kesho.😁.Imepona kuna kitu kidogo nado lakini hakinisumbui bajeti ya bia imekata
Kama wana service patner au agent hapa sawa, basi kanunue Rolls-Royce yenye warranty ikuharibikie uone kama watakutengenezea hapa hapa.Kwamba hapa Bongo wenye Mercedes,Audi,Bimmer etc likizingua under warranty hua wanayarudisha ulaya kufanyiwa service sio? [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mbunge msigwa alikuwa anadaiwa million 20 ya service ya v8 lake sijui alilipa?Service ya kitu gani hio inafika 6m mkuu?
Lexus wapo vizuri kwenye reliability..!Show me luxury car ambayo ni reliable hata kama ni toyota.
Ulimuuliza kama aliongeza mafuta? Kituo gani? Hizi gari hazitaki shida. Ukishabadili pump hakikisha mafuta yako unaweka ya kampuni tatu tuuAhsante mkuu nipo ilala nafanya diagnosi nimeambiwa error code P0087 Weak fuel pump
Kwa maelezo haya iwapo ndio ningekua mimi mwenye hiyo gari ningeachana na mafundi wa huko ilala chap nikakutafuta,ilala mafundi wengi wapigajiHiyo ni code ya low fuel pressure kwenye BMW,
Pump inaweza kuwa ni sababu mojawapo, na kuna engine za BMW zina pump zaidi ya moja ile ya kwenye tank na HPFP.
Pia inaweza kuwa Common rail pressure sensor au fuel pressure regulator.
Tafuteni pressure inakopotelea msikimbilie kubadili Pump.
Extrovert kitu cha mgermany huku 😀Nimefika home salama sina tofauti mtu anaendesha tipa nashukuru kwa mawazo yenu
Oryx ya nyongezaUlimuuliza kama aliongeza mafuta? Kituo gani? Hizi gari hazitaki shida. Ukishabadili pump hakikisha mafuta yako unaweka ya kampuni tatu tuu
Total
Puma
Engen
Jamaa hamjui kilmer yule😄😄 Labda mwl wa Judo.
Na alifanya vizuri kughaili huko kwa mafundi wa ilala la sivyo wangeendelea kumpasuaKashapasuka huyo jamaa😂😂😂 kanunua zake pampu ya laki 5 af safii vipengele vingine kavipotezea naona kafikiria sio muhimu so ni swala la muda tu!
Mkuu unashangaa au unataka kubisha. Kuna wanaume wanapeleka service gari anasema tu huko chini piga chini kila kitu funga kipya, mikono tu set bei ya toyo, hapo hujakuta sijui pump, plag na vikolokolo vingine..Service ya kitu gani hio inafika 6m mkuu?
Haaaaaa mim na ist yangu mwaka wa nane sina shida yoyote zaidi ya oil na mafuta na vitu vidogovidogo. Inachanja mbuga mkoa kwa mkoa. Na inapiga punda si kidogo kuanzia kubeba siment, chakula cha kuku na hata nguruwe.Hii comment iwekwe kwenye gazeti la mwananchi watu wasome.
Hata Toyota zinawatoa jasho, tena IST.
Show me luxury car ambayo ni reliable hata kama ni toyota.
Una kichaa weweBMW 5 series sio luxury car.
BMW is the number one luxury car brand in the world by popularity while Mercedes-Benz is the most valuable luxury car brand and number one in terms of vehicles sold in 2021BMW 5 series sio luxury car.
Sasa kwanini nibishe wakati sikuwepo eneo la tukio mimi nimeuliza swali hilo...Mkuu unashangaa au unataka kubisha. Kuna wanaume wanapeleka service gari anasema tu huko chini piga chini kila kitu funga kipya, mikono tu set bei ya toyo, hapo hujakuta sijui pump, plag na vikolokolo vingine..