Nashindwa kulielewa hili gari

Nashindwa kulielewa hili gari

Kwamba hapa Bongo wenye Mercedes,Audi,Bimmer etc likizingua under warranty hua wanayarudisha ulaya kufanyiwa service sio? [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kama wana service patner au agent hapa sawa, basi kanunue Rolls-Royce yenye warranty ikuharibikie uone kama watakutengenezea hapa hapa.

Unajua kwa nini bongo gari zinauzwa beighali? Ni kwasababu makampuni mengi hayana sales office bongo hata Toyota wenyewe bongo ni ma agent tu so warranty service inafanywa na agent.

Toyota wangekuwa na ofisi yao hapa yani wakitoa v8 kwa $80,000 manake utainunua hapa kwa $80,000. Ila wakitoa gari 2022 wakatangaza nchi watakazouza hiyo gari wananchi wa hizo nchi wananunua na kusajili kama nguo tu hakuna gharama zingine za ushuru. Ila toyota haijawahi kiuza gari bongo directly.
 
Hiyo ni code ya low fuel pressure kwenye BMW,

Pump inaweza kuwa ni sababu mojawapo, na kuna engine za BMW zina pump zaidi ya moja ile ya kwenye tank na HPFP.

Pia inaweza kuwa Common rail pressure sensor au fuel pressure regulator.

Tafuteni pressure inakopotelea msikimbilie kubadili Pump.
Kwa maelezo haya iwapo ndio ningekua mimi mwenye hiyo gari ningeachana na mafundi wa huko ilala chap nikakutafuta,ilala mafundi wengi wapigaji
 
Kashapasuka huyo jamaa😂😂😂 kanunua zake pampu ya laki 5 af safii vipengele vingine kavipotezea naona kafikiria sio muhimu so ni swala la muda tu!
Na alifanya vizuri kughaili huko kwa mafundi wa ilala la sivyo wangeendelea kumpasua
 
Service ya kitu gani hio inafika 6m mkuu?
Mkuu unashangaa au unataka kubisha. Kuna wanaume wanapeleka service gari anasema tu huko chini piga chini kila kitu funga kipya, mikono tu set bei ya toyo, hapo hujakuta sijui pump, plag na vikolokolo vingine..
 
Hiyo gari ikikushinda ulete mrejesho hapa. Haitawezekana umalize miezi 12 humjamtupia mtu mwingine huo mzigo wa miiba.

Jamaa yangu ilibidi aagize engine ya X5 lakini bado ikaendelea kumletea mapicha picha mpaka akaamua kuiuza. Saiz anatumia land cruiser.

Jirani yangu ana 7series v8 ya 2004 amepungua mpaka uzito kwa sasa.
 
Hii comment iwekwe kwenye gazeti la mwananchi watu wasome.

Hata Toyota zinawatoa jasho, tena IST.
Haaaaaa mim na ist yangu mwaka wa nane sina shida yoyote zaidi ya oil na mafuta na vitu vidogovidogo. Inachanja mbuga mkoa kwa mkoa. Na inapiga punda si kidogo kuanzia kubeba siment, chakula cha kuku na hata nguruwe.
 
BMW 5 series sio luxury car.
BMW is the number one luxury car brand in the world by popularity while Mercedes-Benz is the most valuable luxury car brand and number one in terms of vehicles sold in 2021
 
Mkuu unashangaa au unataka kubisha. Kuna wanaume wanapeleka service gari anasema tu huko chini piga chini kila kitu funga kipya, mikono tu set bei ya toyo, hapo hujakuta sijui pump, plag na vikolokolo vingine..
Sasa kwanini nibishe wakati sikuwepo eneo la tukio mimi nimeuliza swali hilo...
 
Back
Top Bottom