Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Mnataka muagize ya miaka ya hivi karibuni THELIKALI itapataje pesa kutoka kwa wamiliki wa magari?Inategemeana ya mwaka gani hiyo used mkuu mbona zipo used za miaka ya karibuni na hazina usumbufu shida ni hiyo miaka ya 2004,5,6 hapo hapana upate used ya 2015 kuendelea X 5 matatizo yake utakuja kuyasikia baada ya kutumia sana gari kinachotusumbua sio magari ni kodi ya TRA ndio maana watu wanaagiza machakavu na kuja kulalamika hapa...
Na wauzaji wa spea za magari nao si watalia njaa!
Mafundi gereji nao si watakuwa vibaka!