Nashindwa kulielewa hili gari

Nashindwa kulielewa hili gari

Inategemeana ya mwaka gani hiyo used mkuu mbona zipo used za miaka ya karibuni na hazina usumbufu shida ni hiyo miaka ya 2004,5,6 hapo hapana upate used ya 2015 kuendelea X 5 matatizo yake utakuja kuyasikia baada ya kutumia sana gari kinachotusumbua sio magari ni kodi ya TRA ndio maana watu wanaagiza machakavu na kuja kulalamika hapa...
Mnataka muagize ya miaka ya hivi karibuni THELIKALI itapataje pesa kutoka kwa wamiliki wa magari?

Na wauzaji wa spea za magari nao si watalia njaa!

Mafundi gereji nao si watakuwa vibaka!
 
Mnataka muagize ya miaka ya hivi karibuni THELIKALI itapataje pesa kutoka kwa wamiliki wa magari?

Na wauzaji wa spea za magari nao si watalia njaa!

Mafundi gereji nao si watakuwa vibaka!
Nimecheka sana aisee wewe kweli Kitimoto.
 
The error code P0087 on a 2006 BMW Series 5 indicates a "Fuel Rail/System Pressure Too Low." This code typically points to an issue with the fuel delivery system, and it can be caused by several factors:

  1. Fuel Pump Failure: The fuel pump may not be delivering adequate pressure to the fuel rail.
  2. Fuel Filter Clogging: A clogged fuel filter can restrict fuel flow and reduce pressure.
  3. Fuel Pressure Regulator Issues: The regulator may be malfunctioning, affecting fuel pressure.
  4. Fuel Injectors: Faulty or clogged fuel injectors can impact pressure.
  5. Leaks in the Fuel System: Leaks in fuel lines or connections can cause pressure drops.
  6. Faulty Fuel Pressure Sensor: The sensor itself might be defective and giving inaccurate readings.
To address this, you might want to start by checking the fuel pump and filter, as these are common culprits. If you're not familiar with diagnosing and repairing these issues, it might be best to consult a professional mechanic who can perform a more thorough inspection and repair.
 
Back
Top Bottom