Nashindwa kumsamehe Magufuli kwa hili

Je sijawahi kuona mkilalamika kifo cha chacha wangwe na mauaji ya viongozi wa ccm kibiti, rufiji, pamoja na mauaji ya polisi au Tundu lisu ndio binadamu peke yake
Mbona serikali ilijigamba kwamba imewamaliza wahuni wa Kibiti pasipo hata kuwataja. Kwa akili yako yale mauaji yangekuwa yanafanywa na wapinzani si wangekamatwa mara moja lakini ukweli wanaujua upinzani hauhusiki.
 
Je sijawahi kuona mkilalamika kifo cha chacha wangwe na mauaji ya viongozi wa ccm kibiti, rufiji, pamoja na mauaji ya polisi au Tundu lisu ndio binadamu peke yake
Vifo ulivyovitaja vilivyotokea tunaamini kuwa yalikuwa ni mapenzi ya Mungu na hata kama kulikuwa na wasiwasi wa vifo hivyo mwenye wajibu wa kutoa ufafanuzi wa vifo hivyo ni serikali.

Ama kwa nini malalamiko mengi juu ya Lissu, Beni saa and, na wengineo ni kuwa sababu;

1. Walikwisha toa taarifa za hatari dhidi ya maisha yao tena wakiweka bayana aina ya kundi linalowatishia usalama ambalo kwa namna moja ama nyingine lilielekea kuwa na ushiriki na dola.
2. Katika hili la Lissu na wengineo ifike mwisho kwa serikali kuanza uchunguzi wa suala hili ili serikali yetu asafishike ktk ambalo hadi sasa linabebeshwa Magufuli.
 
Kila sehemu anasifika. Mbona kwetu huku hatutaki hata kumsikia kutokana na ukatili wake uliovika mipaka. Jomba huyo alikuwa ibilisi huoni Sasa hata mjane ananenepa?
 
Wewe huwezi kumchagulia mshindani wako namna ya fight . Kusema ni ujinga unakosea . Cdm wapo kivyao na wananchi wanawaelewa, sema hawana bunduki .
 
Unataka
Msamehe,usiposamehe wewe pia hutasamehewa,lakini pia hakuna ushahidi kuwa magu ndio alimpiga risasi lisu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
USHAHIDI UPI ZAIDI?
kauli yake kabla lisu hajashambuliwa.
Kesi zikiwemo za kutaka kupima mkojo. Toka kwa Wazee.wa PGO
Kukataa wabunge wa ccm wasiende kumuona hospital nairobi!
Kumnyima pesa za matibabu japo ni stahiki zao.
Kuvuliwa ubunge wake
Nk
MAGUFULI kupitia kwa SABAYA wanajua kilichotokea kwa Lisu
 
Mbona upo! Kuna clip alikuwa anaongea somewhere, akawauliza wakaribu yake" DAWA ya MSALITI mnapokuwa kwenye uwanja wa vita ni nini'

Kilichofuata, maumivu
Kwa hiyo Lisu akikuwa msaliti?

Basi alistahili
 
Hivi wakati mawazo anapatwa na hili tukio Magu alikuwa na cheo gani hapa nchini?
 
Huyu baba hata ile kazi ya kusimamia malaika watamwondoa.

Anatajwa mno,
[emoji23][emoji23][emoji23]Chadema wanaumia sana kuona hata baada ya mbaya wao kufariki bado mambo hao yamepinda tu,,

Ndio sababu unaona bora wamtaje kupunguza machungu
 
Hivi wakati mawazo anapatwa na hili tukio Magu alikuwa na cheo gani hapa nchini?
Ask your self .

Swali la kipuuzi kabisa kuulizwa na mtu anayejifanya mjuaji !![emoji102].

Kumbuka walienda kumzika kina Lowassa, Sumaye na mkavuruga na kaburi lake.
Unadhani huyo nduguyo alikuwa na cheo gani ?!
 
Mpuuzi ni wewe!

Huyo niliyomnukuu anajaribu kuonesha kwamba Mawazo aliuawa kwa amri ya Magufuli!

Nikauliza wakati huo Magufuli akikuwa na cheo gani hapa nchini?
 
Tulikuwa na Shetani Ikulu
 
walinzi wa majengo walienda wapi? Kamera zilisimamiwa na nani? Mbona mambo yapo wazi? We huwezi hata kufikiri. Yani mtoa amri kwa walinzi kuondoka huwa ni nani kama wanalinda viongozi wa serikali au wabunge?
 
Mataga yatabaki kuwa mataga tu
walinzi wa majengo walienda wapi? Kamera zilisimamiwa na nani? Mbona mambo yapo wazi? We huwezi hata kufikiri. Yani mtoa amri kwa walinzi kuondoka huwa ni nani kama wanalinda viongozi wa serikali au wabunge?
 
kwani kufanyika uchunguzi ni lazima mhusika aliyeshambuliwa awepo!? Si wangetoa report kwanini walinzi wotehawakuwepo nani aliwaondoa? Kama tundu lissu angekufa polisi wangemuuliza nani.
Yani polisi kufanya kaz mpaka mhusika awepo je kama mhusika alitengeneza tukio kuchafua serikali huoni kama bado kuna haja ya kuchunguza na kutoa report
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…