unaezaj kuthibitisha JPM aling'ang'ania madaraka ? Unaezaj kuthibithisha kuwa JPM alikataa kukosolewa?Toa huo unaouita uchadema & uccm turudi kwenye reality. Kwamba kweli alikuwa hajulikani alipo ?!. Yoote yana mwisho , hata Maghufuli leo kaiacha ofisi , ni wengine tena ambao asingependa wafaidi leo ndiyo wanaofaidi.
Mataifa yaliopiga hatua kabisa , viongozi wao hawana sababu za kukataa kukosolewa , wala hawanganganii uongozi . Tatizo lina nchi zetu masikini kiuongozi
huo ndo ushahidi [emoji3] bure kbsMagu was a [emoji48]
Lete nakala ya report ya polisiWe ndo haujielewi na ushabiki kwa jiwe ndo unakusumbua. Suala la uchunguzi wa tukio kama hilo na sehemu nyeti kama hiyo ni jukumu la vyombo vya dola kufanya vyovyote wawezavyo kwa taaluma zao kufanya uchunguzi maana hili litakuwa ni kwa maslahi ya usalama wa nchi, kinyume chake watakuwa wanajua kinachoendelea.
Aliyekwambia kuwa tukio la Lissu halikuripotiwa police ni nani?. Acha utetezi wa kijuha.
Ulikwepo kipindi wasaidiz wanaiandika? chadema wengi tunaendeshwa na chuki na sio akili zetu timamu , kuna vitu unavijibu hata mtu timamu anaamua kucheka tuBwana njaa ww ni fala tu. Magufuli alitaka kummua Lissu. Hicho kitweet wala sio chake ni wasaidizi wake wakizuga. Kaa na nja yako ya mpka kichwani
Magufuli was a devil. period!
Bahati yako ID yako inafichwa ila ww ndo ungekuwa kituko cha 2021 , yaan uenyeji ndo inakupa hukumu , ni akil au matope mkuuNaona ni hitimisho kwa kuandika hivi, Magufuli alishiriki shambulizi dhidi ya lissu. Uenyeji wangu hapa nchini uliniwezesha kuona behaviours za serekali Juu ya tukio hilo, hata sasa inavyo endelea kulihanndle ni tabu tupu. Kama nimeweza kuona tabia za serekali tangu tukio lilipotokea hivyo, kushindwa kuhitimisha kwa kuihusisha serekali ya Magu kunafanya ubinadamu wangu kuwa questionable.
MzilanKENDE alifanya yale mambo ili huko ustaafuni aje aseme anajutia.Yule jamaa alikua mnafiki,Muongo grade 1.
Sikuwahi kumuamini hata mara moja kwa kauli zake baada ya kuona matendo yake...
Anaongea na mahisia yake kuwadanganya wenzie!
Mtu anafuata Kanuni za “Power “ bila kujua kuwa he is also a human being and he will die!
Njia nzuri ya kumtesa adui wako wa kisiasa siyo Kuua asee! Hasira huisha then nini hufuta kama Siyo majuto... You can teach people hata kupitia kesi ambayo hajui atatoka au la sometimes adi anafungwa then unakuja muachia
Unamkamata unampa onyo au anafungwa asijue atatok lini lakini siyo Kuua binadamu mwenzio!
Hata kumtesa binadamu mwenzio akatoka manundu siyo ubinadamu ni unyama na kutostaarabika
Nina wasiwasi kam huyu jamaa ataiona mbingu asee hata kam sijui eti alifanya kitubio sijui nini ila duu amekufa na majuto...
Watu wenye Roho mbaya vile ni kam wachawi na Huhangaika Sana hadi waje kuikata roho, wengine hadi Hunya ndipo wafe!
Ewe Mkuu yeyote usisahau kuwa na wewe ni Mtu/ Binadamu kama mwengine yeyote Mtu.
Kuua Binadamu mwenzio ni kujifanya wewe Siyo binadamu ni Zaidi yao kumbe wapi...
Ili kuepusha madaraka kuwapanda kichwani na kujiona Miungu, wafalme wa Dola ya Rumi walikua wanaajili mtu ambaye kazi yake ilikua kumkumbusha Mfalme kuwa ni binadamu na atakufa..
Mtumishi huyo alikua anatamka maneno “ you’re Mortal Cesar , You are Mortal Cesar, You are Mortal cesar “ hasa mfalme anapokua ameshinda vita au amefanya jambo la kishujaa”
Mfalme anae jua kuwa ipo siku atakufa humuepusha na kufanya mambo ya kipumbavu kama mengi aliyoyafanya Bwana Yule...
Usiue,Usiue!
Sasa unaezaj fananisha tukio la hamza na tundu lissu au Tundu lissu alishika bunduki akaanza kushambulia watu , mbona Chadema siku hz kuna watu wapuuzi sana , kwa matukio ya hamza tunamuweka kwenye kundi la magaidi maana alikuwa anashambulia watu kwa misimamo yake ambayo haikujulikana ila Tundu ni muhanga wa kushambuliwa , Kwa Hamza ni lazima uchunguze sababu lazima ujiulize kajifunzia wapi training za kutumia silaha pili analikuwa ana malengo gani? na Tatu kujuwa background ili isije akawepo mwingine wa mwenye itikadi km zake , Ila Tundu Lissu inasemekana alishambuliwa hadharani maana mbali na Tundu hakuna hata shuhuda mwingine alieenda kutoa taarifa polisi . BADO HUJAELEWA TUNimekufuatilia humu. Nimeona wewe ndiyo hujielewi na umekalia ushabiki . Tukio kama la hamza liliripotiwa wapi ?!. Mbona uchunguzi umefanyika na kauli POLISI imetoka !! Iwe Je hili la Lissu aliyeperekwa Nairobi akiwa amezimia hajitambui, mpaka arudi aripoti tukio polisi , ndo ahudumiwe ?!
Umezungumzia makada waliouliwa mwanza. Unasahau Ukerewe, Nyamongo , ifakara, hananasifu, mbeya etc wameuliwa wanaCdm kibao . NANI ALIJALI ?!
NYONGEZA: taarifa siyo lazima Tundu hata Wanafamilia au uongoz wa chama chakeNimekufuatilia humu. Nimeona wewe ndiyo hujielewi na umekalia ushabiki . Tukio kama la hamza liliripotiwa wapi ?!. Mbona uchunguzi umefanyika na kauli POLISI imetoka !! Iwe Je hili la Lissu aliyeperekwa Nairobi akiwa amezimia hajitambui, mpaka arudi aripoti tukio polisi , ndo ahudumiwe ?!
Umezungumzia makada waliouliwa mwanza. Unasahau Ukerewe, Nyamongo , ifakara, hananasifu, mbeya etc wameuliwa wanaCdm kibao . NANI ALIJALI ?!
Ndugu mwennye akili nyingi tena zisizo matope kama uanvyo jiona, ninaposema "uenyeji wangu" unaelewa nini?..........common sense is not common!Bahati yako ID yako inafichwa ila ww ndo ungekuwa kituko cha 2021 , yaan uenyeji ndo inakupa hukumu , ni akil au matope mkuu
kwa hiyo picha , JPM anahusikaj mkuu?Yulr ni zaidi ya shetani haitaji msamaha popote mbinguni na duniani?
View attachment 2063813
kwahiyo Mbowe angempiga JPM ? yaani ile elite chadema ndo bye bye , siku chama kina mazuzu tucamera alizitoa magufuli.
sio jeshi ni magufuli ndiye alizuia ibada za kumtibu lissu.
magufuli aliliagiza bunge lisimlipie matibabu,mpaka mbowe alimpomtishia magufuli kumpiga,ndipo ndugai akatoa hela.
ni magufuli ndiye mwenye mamlaka ya kutoa camera,jengo lolote.
Hope umefurahi sasa au vipi????
Tamthilia ya blacklist zinawadangany sana , yaan kila kitu mnahisi real , sitak kujitambulisha so muhimu sn ila amin mtu yyt anaeweza kuwa na access ya hizo taarifa nyeti huez kumkuta humu jf akiropoka tu , wengi wenu ni form 6 leavers ndo mnakuja kusumbua watu huku , bure kbs[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] aisee kadiri unavyoandika ndivyo unaonyesha ujinga na rangi yako halisi,
Nilijua walau upo kwenye system lkn kumbe hamna kitu,
Unajua Task force ya Kingai ili compile suicide square ya Aina gani?
Unajua watu waliokuwa spotted?
Punguza ujuaji wa kijiweni!!! Enzi za magu task force ilikuwa zaidi ya jeshi, polisi,tiss
Yaan wafuas wa chadema wanaendeshwa na chuki ya 2020 election , kuna vitu wanaongea havimake sense yaanMimi simtetei mtu kwasababu ni kabila langu, namtetea kwa haki only pale anapoonewa au kusingiziwa.
Kuna utaratibu wa referrals za serikali, baada ya kupatiwa huduma ya kwanza pale Dodoma hospital, ni madaktari wa pale ndio walipaswa kutoa referrals ya ama ahamishiwe MOI, ama apelekwe nje ya nchi, tena kwa case yake ya mifupa, a angekuwa referred Ujerumani kwa mabingwa wa mifupa!.
Uamuzi wa kumhamishia Nairobi hospital ulifanywa kisiasa bila kufuata the laid down government referrals procedures, hivyo serikali was right kugomea kugharimia matibabu on governmental reasons, but bado ingeweza kugharamia on humanitarian reasons lakini unajua sababu
Hapa sasa tujifunze kutenganisha mihimili, Bunge ni Mhimili, lina taratibu zake na halingiliwi!. Ule ni uamuzi wa Bunge, usimsingizie marehemu!.
Ila kwa vile Mkuu wa Mhimili wa Bunge ni sahiba na Mkuu wa The Executive, kama walipigiana simu wenyewe wakaambiana, hili sio letu, ila mwisho wa siku si matokeo tumeyaona!. Msimshutumu marehemu kwa makosa ambayo sio yake!.
p
fuatilia posts za huko juu watu washajibu hayo maswali yakoLet us be realistic hivi kweli yale alotendewa lissu kuanzia kushambuliwa mpka kufutwa ubunge John hakua na mkono hata kidg, shida yangu inakuja why John hakuwahi kukemea chochote kati ya haya, haya mambo tunayoambiana kila mhimili una kazi yake this is theory mkuu, km John alimwambia ndugai washughulikie bungeni wakitoka nje ntamalizana nao haikua amri hii kweli, tukitak kulijenga taifa letu tuacheni mahaba
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Inshu sio kukosoa inshu ni kuongea ukwel , wakosoaji wengi ndo wale wanapinga brt , ununuzi wa ndege ( ili tuendele kuyanufaisha mashirika ya kigeni) , ujenz wa bwawa la umeme eti tunaua viumbe hai kana kwamba wao hawalagi nyama sijui hizo nyama zinaota shambani , pia hao hap wakosoaji ndo wale walipinga sgrKipindi hicho kuikosoa serikali wewe ni mwanaume kweli au mwanamke kweli kweli.
Sheria ipi ya madini alikuwa anaipinga LissuSasa kwanini una shindwa kutumia AKILI japo kidogo tu.?
kabla ya kushambuliwa lisu alitoa taarifa kuwa Kuna watu wanamfatilia.
lisu alikuwa anapiga mikataba ya madini,wakati ripoti ya madini inatoka ndo lisu alishambuliwa .
Nani asiyejua kuwa magufuli alikuwa hataki kukosolewa?mtu Kama huyo anashindwa vipi kutuma watu waje kukuua?
Kwahyo na mm nkisema ww Shoga , inakuwa kweli ?Huyu p ameshindwa kumiliki mke nani actamtilia maana I na mautumbo ya marefu.
Eti ushahidi lisu aliyeshambuliwa alisema muhusika mkuu ni magufuli case closed
bro unapoteza muda na watu wajingaIli mtu aweze kutumia hizo akili, japo kidogo, hatua ya kwanza ni akili hizo kidogo, ziwepo!. Hii maana yake ni akili kwanza ziwepo, zikiishakuwepo zipo, ndipo sasa zitumike. Ukitokea hata hizo kidogo hazipo, mtu kama huyo atumie nini?. Vitu vingine mnisamehe bure tuu, wengine hata hizo kidogo hazipo!.
Lissu ni mwanasheria nguli, mahiri, anajua ni wapi pa kutoa taarifa anapohisi usalama wake uko mashakani, na hili niliwahi kuuliza
Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?
Wanabodi, Kwanza sote tunalaani kwa dhati kabisa, kitendo alichofanyiwa Mhe. Tundu Lissu cha kumiminiwa risasi 38 na watu wasiojulikana, kati ya hizo risasi 16 zikampata!, kitendo ambacho kimefanywa mchana kweupe, tena akiwa kwenye eneo ambalo ni secure area!, maeneo ya waheshimiwa, ambayo...www.jamiiforums.com
Kuna vitu vingine wengine mnafanya kuvisikia tuu, mtu ukiishakuwa rais, lazima ukosolewe utake usitake. Mimi nimemsikia mwenyewe akisema hana tatizo na wakosoaji, mimi mwenyewe nilikuwa mkosoaji mkubwa wa JPM, kama ni kweli angeua wangapi?
Umemaliza vizuri, neno "anashindwa vipi" maana yake ni just assumptions. Don't assume, be certain!.
P
Chadema skendo nyingi yaan mtu kabla ya kupotea anatoa elf 50 kisha ndo anapoteaKama hakuwa Hana tatizo na wakosoaji.
Ben saa 8 yupo wapi?.
Akina Nani walimteka mdude?
Ushahid wa hizo shutuma zenu tunahitajiNaongezea tu. He was also stupid. How will you do such evil actions and espect to be safe? It was just a matter of time.