Nashindwa kumsamehe Magufuli kwa hili

Dhambi kubwa ni kumficha dereva,shuhuda namba moja.
Tukio la Lissu , Lissu anajuwa wahusika ila alitaka kulitumia kisiasa tu , kama kweli ni serikali kwann alimficha dereva ?
 
Uko timamu kweli mkuu ? So tukio likitokea hayo maeneo ndo hauend kureport polisi ?( ukishindwa wewe basi watu wako wa karibu ) au ndo huoneshi ushirikiano na jeshi la polisi ? Kuna muda tunaitumia vibaya siasa na ipo siku itatutokea puani km Libya
We ndo haujielewi na ushabiki kwa jiwe ndo unakusumbua. Suala la uchunguzi wa tukio kama hilo na sehemu nyeti kama hiyo ni jukumu la vyombo vya dola kufanya vyovyote wawezavyo kwa taaluma zao kufanya uchunguzi maana hili litakuwa ni kwa maslahi ya usalama wa nchi, kinyume chake watakuwa wanajua kinachoendelea.

Aliyekwambia kuwa tukio la Lissu halikuripotiwa police ni nani?. Acha utetezi wa kijuha.
 
Acha kujaribu kumsafisha shetani.

Alikataza watu kumchangia damu na fedha.

Alikataza viongozi wenzake wa chama na serikali kwenda kumjulia hali Nairobi.

Alimnyima stahiki zake zote za kibunge na akaishia kumvua ubunge.

Shetani wahed!
Halafu limukufa yeye. Aliyetaka kumuua anadunda. Shetani wahedi kabisa. Faili lake bado lipo Milembe.
 
Bwana njaa ww ni fala tu. Magufuli alitaka kummua Lissu. Hicho kitweet wala sio chake ni wasaidizi wake wakizuga. Kaa na nja yako ya mpka kichwani
Magufuli was a devil. period!
 
Hv unajuwa kuwa mwaka 2015 mwanza chadem waliuwa ccmU wa3 Kipind cha kampeni, je kuna kiongoz wa ccmU alikemea? ifike acha kuishi maisha ya uvumi , kila unachokisema jitahidi uwe na ushahidi , kuwa chama kimoja haitoshi kusema mtafanana kila kitu , AMKA
 
Pointless mkuu , hutoi taarifa ya kufiwa halaf unadai rambi rambi , stupid kbs , tumia akili kufikir vitu vingine havihitaji ushabik kbs
Hapa ndipo unadhihirisha ushabiki wako kwa jiwe, punguza mahaba na kubali kuwa kasoro moja kubwa katika utawala wa kipenzi Chako ni suala lake la kuonesha chuki iliyozidi dhidi ya Lissu na mengine yaendelee
 
Utafanyaj uchunguz kwa kituba ambacho akijafunguliwa tuhuma ( akijarepotiwa polisi ) , kuna muda uchadema tuweke pemben na tuwe wakweli
 
Utafanyaj uchunguz kwa kituba ambacho akijafunguliwa tuhuma ( akijarepotiwa polisi ) , kuna muda uchadema tuweke pemben na tuwe wakweli
Hivi wewe unajielewa unachokiandika, tukio la Lissu halikufanyika kifichoni, kitendo cha askari kufika eneo la tukio kama walivyofika pale Dom na kuona ni nukta yao ya kuanza uchunguzi.

Acha kukimbilia kuwa watu Wana ushabiki wa vyama kama ulivyo wewe.
 
What an idiot, you are.

Magufuli alikuwa anti COVID vaccine, at the same time alipinga mazishi ya kuficha.

That is to say kuna taasisi zingine zinamamlaka ya kufanya mambo bila ya raisi.

Thibitisha upuuzi wako Magufuli anausika na hizo accusation zako.

Magufuli forever waliomuua siku zao zaja.

Kwako wewe fisadi uwezi kuishi kwa urithi wa Tanzania milele; njia zako zina mwisho na auto kuwa mzuri.

Leave Tanzania alone.

Mwenye kusikiliza asikie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…