Nashindwa kumuelewa mume wangu, nikimkosea anaishia kulia

Nimekumbuka rafiki yangu nae,, jamaa yake akikosea na akiulizwa basi anaanza kulia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah afu iweje lol
 
Anakulia timing ukicheza atakuoka kama mkate.
 
May be huyo mwanaume atakua na shida maeneo flani esp kwny sita kwa sita, kwahiyo akimpiga bibie ataonekana anamwonea bure, inawezekana analia kwa uchungu akijua kabisaa yy ndyo chanzo cha mkewe kua hivyo,
Ila wewe bibie hata km ana madhaifu mwenzio kwann ufanye hayo kwa uwazi mpk ajue huyo mumeo? Lengo lako ni kumkomoa siyo?
Okay ila hiyo siyo approach nzuri ya kutatua tatizo,
 
Jamaa anakuonea huruma atakacho kufanya wakat anakupenda
 
Kimbia usiangalie nyuma. Umemjengea nyongo ambayo inachemka polepole! Siku ikifikia ukingo hutaamini. Atakuchinjia sehemu ambayo haina ushahidi.
 
Mwambie akachukue fomu ya Ubunge, mwenzake wa kulia lia amechukua bahi,
 
Mwambie akachukue fomu ya Ubunge, mwenzake wa kulia lia amechukua bahi,
 
Hata miye ningebaki kulia tu. Yaani alitegemea kukubadili utoke kwenye hiyo tabia yako mbaya lakini kumbe hujitambui?? Kweli dunia hii shida tupu. Akufanyeje uridhike na kutulia? Upo naye hapo kitandani huku unaitia majina ya midume mingine wadhani unafanya vyema??
 
Ukinambia kabila la Mmeo ndio nitakueleza aidha ujiandae na kilema, furaha hiyohiyo uliyonayo, kifo au vyote kwa pamoja yaani Kilema na Kifo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…