Nashindwa kumuelewa mume wangu, nikimkosea anaishia kulia

Kuwa makini hao ndo wanaochomaga wanawake km wanabanika nyama
 
Samahani wakuu....
Minaona kama vile jf imevamiwa...[emoji848][emoji849]
 
Mimi na mume wangu tuna miezi minne sasa lakini mimi nmekua nikimkosea sana wala hanipigi anaishia kulia tuu na baadaye kuniambia kanisamehe.

Juzi amekuta nimechat na mwanaume kimapenzi ameniangalia tu akaanza kulia na kuniambia wala sijamkosea chochote niwe na amani kisha kesho yake anaamka akiwa normal kama hamna kitu nmemfanyia.

Jamani mimi nashindwa kumuelewa naombeni msaada wenu.[emoji24][emoji24]
Ushawahi kuona Mamba anavyokula? Hakuna mamba anayekula mtu huku anacheka...Mara zote anakua analia
 
Umeisha mdada,mseela anakuonea huruma maana anajua anakumaliza muda wowote.Akianza kununua magunia ya mkaa uje utuambie.
 
Mimi na mume wangu tuna miezi minne sasa lakini mimi nmekua nikimkosea sana wala hanipigi anaishia kulia tuu na baadaye kuniambia kanisamehe.

Juzi amekuta nimechat na mwanaume kimapenzi ameniangalia tu akaanza kulia na kuniambia wala sijamkosea chochote niwe na amani kisha kesho yake anaamka akiwa normal kama hamna kitu nmemfanyia.

Jamani mimi nashindwa kumuelewa naombeni msaada wenu.[emoji24][emoji24]
Mme wako ni mwanamke au mwanaume?
 
Mimi uwa nalia kwa vitu viwili tu duniani cha kwanza ni maumivu makali yakipita rohoni kwangu na pili nikiwa na furaha kubwa sana ambayo nashindwa ku-control emotion. Na uwa ninalia mara chache sana hapa duniani na mara ya mwisho kulia ni mwaka jana ambapo mtoto wangu alifaulu sana mtihani wake wa National nilifurahi sana siku hiyo nakumbuka nilienda coco beach nikakaa ufukweni nikaanza kulia kwa furaha.

Kama mmeo yuko kama mimi jua kuna hatari kubwa sana hapo
 
Samahani wakuu....
Minaona kama vile jf imevamiwa...[emoji848][emoji849]

Hali mtaani ikoje mkuu?... ndio reflection yake tunaipata huku. Na vile huku kila mtu high life wako na magari na majumba, ma-HB na ma master on bed.. hahah hao wadangaji wanarukwa akili sana wanakuja na mbinu tofauti tofauti. Tuwavumilie.
 
Mimi na mume wangu tuna miezi minne sasa lakini mimi nmekua nikimkosea sana wala hanipigi anaishia kulia tuu na baadaye kuniambia kanisamehe.

Juzi amekuta nimechat na mwanaume kimapenzi ameniangalia tu akaanza kulia na kuniambia wala sijamkosea chochote niwe na amani kisha kesho yake anaamka akiwa normal kama hamna kitu nmemfanyia.

Jamani mimi nashindwa kumuelewa naombeni msaada wenu.[emoji24][emoji24]
Hujamloga kweli ww...? That's not a man. A man never cries easily

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi na mume wangu tuna miezi minne sasa lakini mimi nmekua nikimkosea sana wala hanipigi anaishia kulia tuu na baadaye kuniambia kanisamehe.

Juzi amekuta nimechat na mwanaume kimapenzi ameniangalia tu akaanza kulia na kuniambia wala sijamkosea chochote niwe na amani kisha kesho yake anaamka akiwa normal kama hamna kitu nmemfanyia.

Jamani mimi nashindwa kumuelewa naombeni msaada wenu.[emoji24][emoji24]
ukija kusiki ana mwanamke utajiskiaje
 
Punguza mienendo yako inayomfanya alie, machozi ni sawa na kupigwa! Wewe unajionaje? Kuna siku utapigwa kipigo cha mbwa .
 
Mmmmmmh ogopa sana mtu wa dizaini hiyo, maan maamuzi yake huwa magumu na kustaajabisha mnooh. Kuwa makiniiiih mwayaaah
 
Analia kisa haamini kama ametimiza ahadi ya atakupenda mpaka kifo.. Maana hauna mda mrefu. Congrats!. Katimiza yake.
 
Kwa hiyo mimi navokupotezea potezea na kukuomba msamaha wakati umekosea wewe najikuta nalia unakuja huku kusema hunielewi ?

Ngoja nakusubili leo ukisinzia nimeandaa rungu la kichwa!

In mmeo voice!
 
Back
Top Bottom