Nashindwa kumuoa mzazi mwenzangu, bado ninatamani wanawake wengine

Nashindwa kumuoa mzazi mwenzangu, bado ninatamani wanawake wengine

Joined
Sep 4, 2017
Posts
43
Reaction score
42
Mim nikijana nIna 26. Kuna dada nIlimpata chuo ananipenda sana kanizalia katoto kana mwaka 1.5 sasa. Mahusiano yetu yana miaka mi3. Na nimda sana ananipigia kelele kuhusu ndoa.

Nami ninamthamini sana kwakuwa anamapenzi yakweli kwangu. Tatizo mimi ninatamaa sana ninawatamani sana wadada wengine wananivutia zaidi kuliko niliyenae. Kwa akili yangu ndogo ninaona nikimuoa huyu nikama ninajifunga

Kuna siku nilimgusia kuhusu nature ya wanaume kuwa na tamaa akanambia "hata ukishanioa ningependa usichepuke lakini ukishindwa kabisa basi tumia condom na uwe makini usije ukapewa limbwata ukatelekeza familia" akili yangu ndogo inanambia huyu dada sio wa kumwacha lakini akili yangu ya kishetani inanambia ingawa kaniruhusu lakini nikimuoa huku hanivutii sana wakati nikipata mchepuko atanibana sitaweza kuinjoy nae nyumbani kwangu.

Kwasababu wanawake wataokubali kuliwa juujuu tu wengi ni malaya tu lakini wale wanawake wazuri waheshima nilazima atataka kuwa huru na mimi na mpaka kuwa huru na ninapoishi ambapo itashindikana kwahiyo ninaona nikiwa nae huyu sitokuwa huru na mahusiano na ninao wapenda kisex.

Jamani nisaidieni nachanganyikiwa.

1619690464719.png
 
Kwani umri wako ni 26 ila akili zako ni za kivulana cha 18 kilicho fail form 2, sio ajabu wewe huenda una elimu ya chuo kikuu..........
 
Umetudhalilisha sana sisi wenye umri juu ya 26

Nina wasiwasi na kifaa unachotumia kufikiria naamini sio ubongo

Anyway nikisema Hujitambui ntakua sikutendei haki ila tuliza akili yako acha Ujinga
 
Kama anafaa kuwa mke na wewe unaliona hilo, oa jaribu kuzizuia tamaa zako baada ya ndoa, ukishindwa jiandae kwa pilika pilika za ziada katika maisha yako na familia yako kama vile kulogwa, maradhi, umasikini, kukosa utulivu, ulevi na kifo cha mapema (mauti)
 
Back
Top Bottom