Nashindwa kumuoa mzazi mwenzangu, bado ninatamani wanawake wengine

Chuo hajaenda kujifunza Mapenzi.
Ana haki ya kuomba ushaur wa kimapenz.

Mm nadhan , kwanza Punguza Tamaa na kwa sasa tulia kwanza kwenye kufanya uamuz wa kumuoa yupi., fanya mambo ya kimaisha na umlee mtoto wenu.

Alaf Kuzaa na mtu sio kwamba ndio umuoe.

Na pia Kama mama mtoto hakuvutii , usikurupuke kutafuta haraka anaekuvutia, tulia kidogo.

Give it some time Kijana, it will all make sense someday.
 
Mim nikijana nna 26. Kuna dada nlimpata chuo ananipenda saana kanizalia katoto kana mwaka 1.5 sasa. Mahusiano yetu yana miaka mi3. Na nimda sana ananipigia kelele kuhus ndoa. Nami nnamthamin sana kwakuwa anamapenz yakweli kwangu. Tatizo mim ninatamaa sana ninawataman sana wadada wengine wananivutia zaid kuliko niliyonae. Kwa akili yangu ndogo nnaona nikimuoa huyu nikama nnajifunga. Kuna siku nilimgusia kuhus nature ya wanaume kuwa na tamaa akanambia "hata ukishanioa ningependa usichepuke lakin ukishindwa kabsa bas tumia condom na uwe makin usije ukapewa limbwata ukatelekeza familia" akili yang ndogo inanambia huyu dada sio wa kumwacha lakin akili yang ya kishetan inanambia ingawa kaniruhus lakin nikimuoa huku hanivutii sana wakat nikipata mchepuko atanibana sitaweza kuinjoy nae nyumban kwangu. Kwasabab wanawake wataokubali kuliwa juujuu tu wengi ni malaya tu lakin wale wanawake wazur waheshima nilazma atataka kuwa huru na mim na mpaka kuwa huru na nnapoishi ambapo itashndkana kwahyo nnaona nikiwa nae huyu sitokuwa huru na mahusiano na nnao wapenda kisex.

Jaman nisaidien nachanganyikiwa.
Hahahaha 26yrs? Robo karne na chenchi? All the best
 
Jinga sana wewe! Kwanini hukutumia ndom!?

Hivi huko vyuo vikuu mnafundishwa nini siku hizi? Yaani kama hii akili ya punda imefika Chuo Kikuu sasa mwanangu kuna haja gani yakumpeleka huko? Aloo ngoja niendelee kumfunza dogo ujasiriamali maana miaka mitatu itapotea bure
 
Oa huyo anakupenda. Tena ukiwa umeoa ndio CV inapanda unapata michepuko high Class.

#Akilizausiku
 
Ukijua angalau kuandika naamini itakusaidia zaidi kuliko hiyo ndoa yako uchwara.
 
Alafu baadae unakuja kupewa ushauri mrefuuu wenye hitimisho"ulipoteza almasi ukiwa bize kulokota mawe" afu unakuwa na majuto hadi mwisho wa life.Maana uliuona ukweli,ukautambua ukweli lakini ukachagua kuuamini uongo na kupotosha nafsi yako
 
Acha kuendeshwa na ngono dogo, maisha ni zaidi ya ngono
 
Back
Top Bottom