Nashindwa kumuoa mzazi mwenzangu, bado ninatamani wanawake wengine

Chuo hajaenda kujifunza Mapenzi.
Ana haki ya kuomba ushaur wa kimapenz.

Mm nadhan , kwanza Punguza Tamaa na kwa sasa tulia kwanza kwenye kufanya uamuz wa kumuoa yupi., fanya mambo ya kimaisha na umlee mtoto wenu.

Alaf Kuzaa na mtu sio kwamba ndio umuoe.

Na pia Kama mama mtoto hakuvutii , usikurupuke kutafuta haraka anaekuvutia, tulia kidogo.

Give it some time Kijana, it will all make sense someday.
 
Hahahaha 26yrs? Robo karne na chenchi? All the best
 
Jinga sana wewe! Kwanini hukutumia ndom!?
 
Ungekuwa karibu ningekupiga bonge la kofi huenda zimesheki kidogo
 
Hivi huko vyuo vikuu mnafundishwa nini siku hizi? Yaani kama hii akili ya punda imefika Chuo Kikuu sasa mwanangu kuna haja gani yakumpeleka huko? Aloo ngoja niendelee kumfunza dogo ujasiriamali maana miaka mitatu itapotea bure
 
Oa huyo anakupenda. Tena ukiwa umeoa ndio CV inapanda unapata michepuko high Class.

#Akilizausiku
 
Ukijua angalau kuandika naamini itakusaidia zaidi kuliko hiyo ndoa yako uchwara.
 
Alafu baadae unakuja kupewa ushauri mrefuuu wenye hitimisho"ulipoteza almasi ukiwa bize kulokota mawe" afu unakuwa na majuto hadi mwisho wa life.Maana uliuona ukweli,ukautambua ukweli lakini ukachagua kuuamini uongo na kupotosha nafsi yako
 
Acha kuendeshwa na ngono dogo, maisha ni zaidi ya ngono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…