Nashindwa kumwacha hata kama hanitaki tena

Kuachana na mwenzi hakuna tofauti na kufiwa na mtu wa karibu. Time heals. Jiweke bize na kusaka kazi na kusoma vitabu. Utamsahau, akili ikitulia utapata mwenza mwingine akupende na kukuheshimu hadi ushangae.
We mwanamke mamboz
 
Mtoto wa kike hufichwa Bibi weeh, acha kabisa.
Mie sijambo kabisa, nahesabu baraka za bwana. Weye hujambo?
Ee hongera mama tuitane basi tuhesabu wote bhana.... We kazana kufichwa mwisho ukute wenzio tushanyakuliwa.

Mie niko poa dear,njoo tutoe lock
 
Hehehe sasa wewe hutaki kuhesabu baraka zako, nikikuita tuhesabu za kwangu utaweza kujumlisha ama utatoa? Kwenye unyakuo Mie ndo mwandikishaji majina kule, ongea na Mie vizuri.

Weeh to a loki, mie sitoi manake akiba haiozi. Lol
Ee hongera mama tuitane basi tuhesabu wote bhana.... We kazana kufichwa mwisho ukute wenzio tushanyakuliwa.

Mie niko poa dear,njoo tutoe lock
 
Wewe ni victim wa mawazo yako mwenyewe. Unashindwaje kumsahau mtu aliyekuhakikishia hakupendi na hakuhitaji? Kwanini unakuwa king'ang'anizi na kulialia? Songa mbele kijana, jifunze kuthibiti hisia.
 
WE' NI FORM ONE "C" AU "D?"
TUANZIE HAPO,

PIA WEKA PICHA KWANZA.
 
Anzia kumsahau hapo hapo ulipo ishia... Itakusaidia
 
Hii formation mkuu kwenye mapenzi hautoboi........

Kuna aina mbili za kupenda, kuna kupenda kwa kumuweka mtu moyoni na kuna kupenda kwa kumuweka mtu machoni, mbaya kuliko zote ni hiyo ya kumuweka moyoni ohhhh my friend utajuta

Sasa ndugu yetu yeye alimpenda kwa kumuweka moyoni sasa akishakaa kwenye moyo hii formation ni ngumu kuitekeleza tunasema MISSION IMPOSSIBLE
 
Hehehe sasa wewe hutaki kuhesabu baraka zako, nikikuita tuhesabu za kwangu utaweza kujumlisha ama utatoa? Kwenye unyakuo Mie ndo mwandikishaji majina kule, ongea na Mie vizuri.

Weeh to a loki, mie sitoi manake akiba haiozi. Lol
..Lock ndo kizibo au?..
 
1.Amini she is not one in a million, at best labda one in a hundred.pili utamsahau pale tu utakapopata mwingine amini hlo mkuu, it takes time though.
2.Ni kama samaki:wapo wengi baharini uliyekwishamvua akiwa hafai,unavua mwengine,unamrudisha baharini asiyefaa.
3.Amini hakuna soulmate,kama ni soulmate wako bhas mngekuwa pamoja hadi sasa na msingetofautiana kias cha kuachana.
4.Kingine amini kuwa unajiendekeza na huenda inventions za movies za mapenzi ndo zmekujengea udhaifu kias hcho,be strong!.
5.Amini kuwa bado hujaexperience best moments za maisha yako na hautaziexperience ukiwa na huyo aliyeondoka,let the gone go!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…