mr promise
Senior Member
- Feb 14, 2015
- 142
- 135
sema sababu ya uhuru wa kutoa maoni ila nataman nkupige ngumiHiyo namba 5 haiwezekani mkuu kwa sababu kuna muda ataenda toilet kukata gogo ni lazima ataenda peke yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sema sababu ya uhuru wa kutoa maoni ila nataman nkupige ngumiHiyo namba 5 haiwezekani mkuu kwa sababu kuna muda ataenda toilet kukata gogo ni lazima ataenda peke yake.
We mwanamke mambozKuachana na mwenzi hakuna tofauti na kufiwa na mtu wa karibu. Time heals. Jiweke bize na kusaka kazi na kusoma vitabu. Utamsahau, akili ikitulia utapata mwenza mwingine akupende na kukuheshimu hadi ushangae.
We mwanamke mamboz
He hee unavojificha kama utumbo lol...Hehehe, are you stalking me now? Shauriyo, lol
He hee unavojificha kama utumbo lol...
Uko poa lakini
Ee hongera mama tuitane basi tuhesabu wote bhana.... We kazana kufichwa mwisho ukute wenzio tushanyakuliwa.Mtoto wa kike hufichwa Bibi weeh, acha kabisa.
Mie sijambo kabisa, nahesabu baraka za bwana. Weye hujambo?
Ee hongera mama tuitane basi tuhesabu wote bhana.... We kazana kufichwa mwisho ukute wenzio tushanyakuliwa.
Mie niko poa dear,njoo tutoe lock
WE' NI FORM ONE "C" AU "D?"Haloo waungwana,mimi nilikuwa na mpenzi wangu ambaye kwa kifupi nlilimpenda muno.nilikutana naye chuo miaka madhaa iliyopita.mara baada ya kuhitimu kila mmoja alienda kwao nahapo ndo shida ikaanza
Akawa ananionyesha dalili za moja kwa moja kuwa hanitaki.majibu mabovu kwa Simu,mizinga,ugomvi kidogo tu anadai tuachane
Baada ya kutafakari ikabidi nikubaliane nae juu ya swala la kuachana,hivyo tukaachana kiroho sari,
Baada ya kuachana nae nikaamua kutulia bila mpenzi maana alikuwa bado anaishi moyoni mwangu.nilikuwa nimefuta na kuharibu kila kitu chenye uhusiano nae ie namba,mkamblock kwenye social networks nk,
Sasa shida inaanza tangu tuachane mimi sijawahi hata kuwaza kama ntakuwa na mwanake mwingine zaidi yake. Nimejaribu kutafuta namba zake na kumweleza ukweli ila naona wala hana muda na mm kabisa.
Naombeni ushauri jamani naanzia wapi kumsahau??
Anzia kumsahau hapo hapo ulipo ishia... ItakusaidiaHaloo waungwana,mimi nilikuwa na mpenzi wangu ambaye kwa kifupi nlilimpenda muno.nilikutana naye chuo miaka madhaa iliyopita.mara baada ya kuhitimu kila mmoja alienda kwao nahapo ndo shida ikaanza
Akawa ananionyesha dalili za moja kwa moja kuwa hanitaki.majibu mabovu kwa Simu,mizinga,ugomvi kidogo tu anadai tuachane
Baada ya kutafakari ikabidi nikubaliane nae juu ya swala la kuachana,hivyo tukaachana kiroho sari,
Baada ya kuachana nae nikaamua kutulia bila mpenzi maana alikuwa bado anaishi moyoni mwangu.nilikuwa nimefuta na kuharibu kila kitu chenye uhusiano nae ie namba,mkamblock kwenye social networks nk,
Sasa shida inaanza tangu tuachane mimi sijawahi hata kuwaza kama ntakuwa na mwanake mwingine zaidi yake. Nimejaribu kutafuta namba zake na kumweleza ukweli ila naona wala hana muda na mm kabisa.
Naombeni ushauri jamani naanzia wapi kumsahau??
Vipi mama mwenyemimba yako mmemalizana? ?Tafuta demu mwingine uwe nae otherwise utaendelea kubaki kwenye akili yako mpaka ushike adabu yako
Hii formation mkuu kwenye mapenzi hautoboi........Mkuu
1. Futa Picha Zake Zote
2. Futa Mawasiliano Yake Au Kumbukumbu Yake Yoyote Ile
3. Epuka Kutembea Peke Yako Kwenye Maeneo Mliozoea Kula Goodtime Pamoja
4. Tumia Muda Wako Mwingi Unapokuwa Peke Yako, Kufanya Shughuli Zako Binafsi Au Kufanya Mambo Unayoyapenda, Mf. Kuangalia Movie Au Mpira N.k
5. Usipende Kukaa Peke Yako, Jichanganye Na Marafiki
6. Usinywe Pombe Kusema Utapoteza Mawazo
7. Wewe Ni Wathaman Sana, Hivyo Jipende Wewe Kama Wewe... Hapa Namaanisha Kula Vizuri, Vaa Vizuri Na Pia Fanya Mazoezi.
8. Relax, Mungu Amekuandalia Mtu Special Kwa Ajili Yako, Hutalia Tena!
..Nimecheka sana,..Hiyo namba 5 haiwezekani mkuu kwa sababu kuna muda ataenda toilet kukata gogo ni lazima ataenda peke yake.
bado hatujamalizana na mama kijachoVipi mama mwenyemimba yako mmemalizana? ?
..Lock ndo kizibo au?..Hehehe sasa wewe hutaki kuhesabu baraka zako, nikikuita tuhesabu za kwangu utaweza kujumlisha ama utatoa? Kwenye unyakuo Mie ndo mwandikishaji majina kule, ongea na Mie vizuri.
Weeh to a loki, mie sitoi manake akiba haiozi. Lol