Nashindwa kumwoa kwa sababu ya mtoto

oya acha umbwiga wewe..demu wajanja washakamua sana mpaka wametia mimba halafu wewe unataka ubebe zigo?mademu mbona kibwena tu siku hizi,yanini ujipe pressure na demu aliyekwishazalishwa?tafuta kigoli utoe golori mwenyewe,utachekwa babu
 
humpendi tu dada wa watu!
Ila kumbuka mkataa pema pabaya panamuita!
 
humpendi tu dada wa watu!
Ila kumbuka mkataa pema pabaya panamuita!

Umeona eeeh! Ngoja akalivae likurumbembe linalouza mbulunji kisomi na kuchoropoa mimba kama anakojoa ndio atajua alichochagua,ukichagua nazi saaaaaana mwisho hupata.............!
 
mi naoolewa na mtu mwengine na tayari na mtoto wangu fuata ushauri wa huyu mwenzio! Karibu kwenye harusi huku Bukoba mwezi February bila ya kusahau ka mchango lol! A baby is not an issue though it is to you, follow your heart you like her take her anaweza kuwa mke bora kuliko hata wengine unaohisi hawana watoto! think and rethink my friend... All the best in decision
 
nahisi hukusoma post na kuielewa na kuuelewa uhusiano wao ulivyo! Unajuaje hao ambao eti hawajazaa hawakuwahi kuwa na mimba? Na ni wangapi wameoa hao unaowaita 'vigoli' na wako wapi kama si mingumi ndani na kila mtu na time zake lakini wanatoka nyumba moja?! Nafahamu watu wananegative attitude towards mabinti wenye watoto lakini si kama ni wabaya wa tabia its just kuwa walikutana na Mr. wrong hapo awali au issue zingine ambazo hakuona umuhimu wa kuendelea nao... Anyway! Hivi na sie wanawake tukianza kuwachambua/kuwakataa wanaume wenye watoto mtakimbilia wapi? acha utoto na kujiona malaika
 
Kama alikuwa wazi na hakungoja ugundue mwenyewe, she can be the best wife. Kumbuka pia, waweza kuoa binti unayedhani hana mtoto na ukishamwoa na kugundua ana mtoto baada ya ndoa, hiyo itakuwa ndoa chungu sana.
Uamuzi ni wako.
 

Kwa hiyo statement,kama kakwambia kweli.
Basi hata ukimuoa atatoka nje na njemba nyingine kimya kimya,...
Haonekani kuwa na chembe ya uaminifu,....(no offence)
 
oya acha umbwiga wewe..demu wajanja washakamua sana mpaka wametia mimba halafu wewe unataka ubebe zigo?mademu mbona kibwena tu siku hizi,yanini ujipe pressure na demu aliyekwishazalishwa?tafuta kigoli utoe golori mwenyewe,utachekwa babu

Duh,that's too harsh.
 

Asije kuwa mama wa mtoto wangu,yupo wapi vile?
 
Mbishi sana wewe,....
Yanakuwa ligi pale kila mtu anapotaka kushinda arguments.
Kwahiyo niwe naitikia tu kila kitu hata nisichokubaliana nacho? Ila angalau mmejipatia tafsiri inayowaridhisha. . .
 
Duh,that's too harsh.

mkuu lets face it,tusioneane haya wala huruma.imagine demu anam promise jamaa kumgawia uroda hata akioa kwingine.Kuna kitu potential hapo?
Sasa usikute hata jamaa aliyetia mimba bado anakamua.
 
ila ki ukweli kuoa mwanamke aliyezalishwa na mwanaume mwingine, yataka moyo hasa! Bora hata aliyetoa mimba ujanani man hakuna ushaidi lakini wa mtoto, hata mimi hapana!
 
Ndoa sio jambo la kujaribu, usifanye maamuzi kwa shinikizo lakini pia usikilize Moyo wako unakuambia nini, Moyo huwa hauwezi kukudanganya, kama unaona mtoto ni tatizo vunjeni uhusiano acheni kupotezea muda na hakuna kusema uhusiano utaendelea. Lakini kama unaona unaweza kuibadili mind yako ikakubaliana na suala la mtoto, be a men and decide one thing for good.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…