Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
humpendi tu dada wa watu!
Ila kumbuka mkataa pema pabaya panamuita!
Mimi ni kijana wa miaka 27. katika michakato ya kimaisha nilijiwekea utaratibu kua sitaoa mwanamke ambae ana mtoto kwa sabaabu zangu mwenyewe tu (sio logic sana).
Mwaka 2009 nilikutana na msichana mmoja ambae nilimpenda sana lakini huyo msichana alizaa mtoto wa kiume tangu 2004 na mimi nililifahamu hilo. Kwa wakati huo sikua tayari kuoa na sikutaka kufanya maamuzi ya kumchagua mwanamke wa kuishi nae ila mwili una mahitaji na matamanio yake, hayo matamanio yakanisukuma kutengeneza ukaribu na huyo binti nayeye akaingia kwenye line. siku ilipofika nikamwita nikamwambia kua nampenda ila habari ya ndoa sio warrant, yule binti alikubali kwa shingo upande tukaingia kwenye mahusiano japo changamoto zimekuwepo lakini tumeweza kumaintain.
Sasa muda wangu wa kuoa umefika na bado I can see the lady is beutiful, ni msichana anaenijali na kunisupport lakini ninashindwa kumwoa eti kwa sababu ya mtoto wake. Kwa kweli tatizo kubwa ninaloliona mimi ni hilo la mtoto. Yeye mwenyewe alishaniambia kua hana kipingamizi kuhusu kuoa kwangu endapo nitaoa mwanamke mwingine yuko tayari au km nikimtaka yeye mwenyewe yuko tayari ila anasema km nikioa mwanamke mwingine bado uhusiano wetu utaendelea japo kimya kimya
Sasa ndugu zangu nimeleta mada hii kwenu mnisaidie kwa kunipa ushauri ni jambo lipi la kufanya.
Tafadhali ushauri wako ni muhimu
Asante
duh!!................. nimekoma aisee...........................
Hahaha,we unataka ligi na huyo mtu?
Utalala hoi
oya acha umbwiga wewe..demu wajanja washakamua sana mpaka wametia mimba halafu wewe unataka ubebe zigo?mademu mbona kibwena tu siku hizi,yanini ujipe pressure na demu aliyekwishazalishwa?tafuta kigoli utoe golori mwenyewe,utachekwa babu
Mmmh. .. una maana gani?
Alafu kumbe majadiliano nayo ni ligi ehh?
Mimi ni kijana wa miaka 27. katika michakato ya kimaisha nilijiwekea utaratibu kua sitaoa mwanamke ambae ana mtoto kwa sabaabu zangu mwenyewe tu (sio logic sana).
Mwaka 2009 nilikutana na msichana mmoja ambae nilimpenda sana lakini huyo msichana alizaa mtoto wa kiume tangu 2004 na mimi nililifahamu hilo. Kwa wakati huo sikua tayari kuoa na sikutaka kufanya maamuzi ya kumchagua mwanamke wa kuishi nae ila mwili una mahitaji na matamanio yake, hayo matamanio yakanisukuma kutengeneza ukaribu na huyo binti nayeye akaingia kwenye line. siku ilipofika nikamwita nikamwambia kua nampenda ila habari ya ndoa sio warrant, yule binti alikubali kwa shingo upande tukaingia kwenye mahusiano japo changamoto zimekuwepo lakini tumeweza kumaintain.
Sasa muda wangu wa kuoa umefika na bado I can see the lady is beutiful, ni msichana anaenijali na kunisupport lakini ninashindwa kumwoa eti kwa sababu ya mtoto wake. Kwa kweli tatizo kubwa ninaloliona mimi ni hilo la mtoto. Yeye mwenyewe alishaniambia kua hana kipingamizi kuhusu kuoa kwangu endapo nitaoa mwanamke mwingine yuko tayari au km nikimtaka yeye mwenyewe yuko tayari ila anasema km nikioa mwanamke mwingine bado uhusiano wetu utaendelea japo kimya kimya
Sasa ndugu zangu nimeleta mada hii kwenu mnisaidie kwa kunipa ushauri ni jambo lipi la kufanya.
Tafadhali ushauri wako ni muhimu
Asante
Kwahiyo niwe naitikia tu kila kitu hata nisichokubaliana nacho? Ila angalau mmejipatia tafsiri inayowaridhisha. . .Mbishi sana wewe,....
Yanakuwa ligi pale kila mtu anapotaka kushinda arguments.
Duh,that's too harsh.