Nashindwa kupenda mtu mwingine

Sikia wewe acha umama utapteza muda,utapata magonjwa ya moyo,utapatwa na sonona kwa kuendelea kumuwaza uyo kiumbe kesha kuambia basi ni basi fullstop,

Ukiendelea kumlilia wakati umemkosea wewe ni kumpa sababu ya yeye kutokutilia maanani tena, tafuta wanawake wengine wapo wengi tu iyo hali itapona automatic,

Kama unampenda kweli siku ya birthday yake mtafutie zawadi nzuri mpe ata kupitia mtu ake wa karibu,then usimtafute iyo zawadi iwe na neno moja au mawili moja pongezi, ingine sorry baahs alafu uendelee na mambo yako
 
Kuangukia kwenye matope ni Jambo lingine na kuendelea kuogelea kwenye matope ni Jambo lingine. Ungeanguka ukashindwa kutoka tungekupa msaada Sasa inavyo onesha ulivyo angukia umeanza na kuogelea huku ukifurahia Basi sisi hatuna neno ogelea ukichoka utatoka mwenyewe
 
Anaitwa nani huyo mwanamke?
 
Najua wapo wanawake wengi, shida iko hapo kumtafuta mwingine. Kila mwanamke nayemuona naona hamfikii hata robo ya sifa alizonazo mkuu. Halafu kuna feeling/bond fulani naipata kwakwe tu
 
Jipende mwenyewe ndugu.
Sijui unaelewa au nilete gazeti la jinsi ya kujipenda mwenyewe?
 
Pamabana utafute hela zikusaidie kwenye maisha yako. Achana na huyo Mwanamke atakupotezea Dira
 
Utampata bila shida mkuu njoo inbox nitajie majina yake tu umemmaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…