Nashindwa kupenda mtu mwingine

Nashindwa kupenda mtu mwingine

Kwanza hujiamini..! Kwa nini unaogopa kuweka wazi ulichomkosea?

We unafikiri huo mwaka na miezi 4 bado yuko single?

Halafu nani kakwambia ukimpenda sana mtu lazima awe wako? Kama hakupendi au kuna anayempenda, kwa nini awe na wewe?
 
Mapenzi Ni mchezo wa kipumbavu Sana na ukiiuendekeza utakuumiza kimwili,kiakili na kiroho pia. Pumzika kidogo hope break penda mwingine kwa tahadhari maisha yaendelee.
 
Don't judge a book by its cover bro.

Hahaahahahaha

Anyway umepotea sana humu bro
Ni kweli but maybe wanapo kuwa nje ya Jf wanakuwa na busara, lakini sio hapa Jf ,

Kaka nipo Ila pilika nyingi , now days pia nimekuwa mlevi Sana wa Tl kuliko Jf naona huku kama nimepooza hivi
 
Kwanza hujiamini..! Kwa nini unaogopa kuweka wazi ulichomkosea?

We unafikiri huo mwaka na miezi 4 bado yuko single?

Halafu nani kakwambia ukimpenda sana mtu lazima awe wako? Kama hakupendi au kuna anayempenda, kwa nini awe na wewe?
Imagine huo nao Ni ubinafsi pia , kutaka hisia zako tu ndio zipewe kipaumbele bila ya kujali kuwa mwenzio hisia zake hazipo kwako na ni haki yake pia kujisifia hivyo na kumpenda mtu mwingine tofauti na wewe
 
Back
Top Bottom