Nashindwa kushika ujauzito, Je! Sindano za uzazi wa mpango zinaweza kuwa sababu?

Mwili umesahau kidogo kupokea vichochoe vipya ila usihofu wapo wanaokaa miaka hata miwili baadae mambo supab.
 
Mwenzio nilitumua sindano tatu mwaka juz had leo sjapata ujauzto kwaasilimia kadhaa ilipelekea kutengana na mume wang! Ingawa hosp. Walisema na wanazd kuniambia nko vzr
 
Kiukweli njia nyingi za uzazi wa mpango hazipo salama. Na wanawake wengi mara watoapo njia hizo kwa lengo la kupata ujauzito huwa ni tabu.

Niliwahi kukaa na padri mmoja na alinieleza kwa undani sana. Wazungu hawatumii huo uchafu bali wanatuletea sisi. Na fact, si kwamba muda unaotumia njia hizo kwamba hushiki mimba, lahasha, unashika but inaharibiwa na njia hizo and thats why walio wengi wanapotumia njia hizi hata bleed hukata kabisa.

So itakuchukua muda kiasi kurudisha mzunguko wako wa kawaida. Ukienda kwa wataalamu kuna nadhani kuna njia za kurudisha mzunguko wako. Nikutakie kila lakheri ila jaribu kuzikwepa njia hizo.
 
Kwanza mnatumiaga ili iwaje bibi zenyu walitumia haya masindano

Uacheni uta-nda-wazi uende zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…