dada grace
Member
- Aug 17, 2017
- 54
- 21
- Thread starter
- #21
Hongera nahs ndo nishakuwa mgumbandugu yangu nina uzaz wa SIMBILISI ! huu uzaz wangu hapana jaman !mie ht huwa nashindwa jua km nina safe dys tafuran
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera nahs ndo nishakuwa mgumbandugu yangu nina uzaz wa SIMBILISI ! huu uzaz wangu hapana jaman !mie ht huwa nashindwa jua km nina safe dys tafuran
Kama upo Dar nenda Agakhan Hospital kamwone Dr. Shafiq. Anaonwa kwa apointment
Aaasante nipo mikoaniKama upo Dar nenda Agakhan Hospital kamwone Dr. Shafiq. Anaonwa kwa apointment
Miaka miwil imepta ss ndani hapakaliki najuta snMwili umesahau kidogo kupokea vichochoe vipya ila usihofu wapo wanaokaa miaka hata miwili baadae mambo supab.
Halafu hata hio avatar badilisha sio nzuri.
Miaka miwili mamy naanza mwaka Wa tatu ss Mr hanielew nakosa raha nimebaki kujuta tuKWANI UMEKAA miaka mingapi bila kushika mimba mamy
Miaka miwili mamy naanza mwaka Wa tatu ss Mr hanielew nakosa raha nimebaki kujuta tu
Sent using Jamii Forums mobile app
kipimo gani walichukua kwa mmeo tuanzie hapo kwanza
Asante kwa kunipa farajagrace nakuambia relax acha kbs wazo la kuwaza nahitaj kunasa mimba !toa kbs tena usiliongelee dec utaleta mrejesho mwingine !