Nashindwa kushika ujauzito, Je! Sindano za uzazi wa mpango zinaweza kuwa sababu?

Ma Dk nisaidien jaman

Sent using Jamii Forums mobile app
Sindano za uzazi wa mpango (DEPO) kazi yake kubwa ni kwenda ku control hormone. Ndani ya miezi 3. Side effect zake ni kuto kuona period na mara nying mtu uona period mwez wa tatu ambayo huwa overbleedng. Side effct za DEPO ni kumfanya mtumiaji kunenepa mno au kukonda ina tegemeana na patient.. effect nyingne ya depo ni kusababisha hormone imbalace kama mtu hormone zilikuwa low na bado uka tumia depo kuzi control ili usipate ujauzito. Ivyo basi baada ya sindano kuisha kazi mwlini ndani ya meiz 3.. husababisha hormone imbalance ili kurekebsha tatizo ilo kuna aina ya dawa tunatoa kulingana na history ya mgonjwa na mzunguko wake unavyo kwenda. Ni vizur kwenda clinic( RCH) upewe utaratibu unao faa.
NOTE: syo kila anaye tumia DEPO atapata hormone imblance ni kwa bahadhi ya watu. Mara nyingi hizi sindano huwa zina wafanya watu wapate mimba zaku shtukiza zaidi kuliko kuzi control.
 
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliyatumia wapi?? Mpaka mumeo akushangae??? Hamkupanga kutumia mkiwa pamoja? Au ulikuwa unazini ovyo nje ya ndoa??? Wapuuzi nyie. Kabla hujaoa ngono ya nini???

Mimi nilizaa na make wangu watoto watatu na hatujawahi kutumia upuuzi kama huo na watoyo wetu wamepishana miaka mitatu mitatu!
 


yes ni mabaya sana !kuna padri anatoaga madawa ya asili ya uzaz wa mpango ! nilizitumia kwa mwez mmoja tu nikapata mimba fresh tu arghhhh!sasa sijui ni fake au ni nn !
 


ni wewe siyo yeye !mbona povu sana mkuu ?
 
Asante sn he uwezo Wa kupata mimba huwa unaludi baada ya matibabu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haziwez kunisababishia ugumba nikifuata ushaur wako naweza kufanikiwa baada y matibabu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…