Nashukuru nimefanikiwa ku-log in tena kwenye akaunti yangu ya JamiiFourms!

Nikola24

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2024
Posts
597
Reaction score
1,240
Leo ile naingia JamiiFourms nakuta akaunti yangu haipo.Hivyo nilitakiwa ni login tena.

Aisee nilipuuza muda mrefu kuhifadhi kumbukumbu ya details za ku login. Hivyo Leo sikujua nifanye nini kurudi kwa akaunti yangu,

Nimefanya utundu kwa muda , nashukuru nime bahatisha kuja back again.

Unajua kupoteza akaunti ya JamiiFourms levo ya EXPERT MEMBER ni hasara ya kidigital?

Hebu nambieni nyinyi (mabibi kwa mabwana) mnawezaje ku back up akaunti yako leo, ukipoteza bila kutarajia? 🚀🚀
 
Kumbe wew ni mgeni jamii forum!
Mimi nalipwa na mexence melo hao moderator wameajiliwa kama mimi
Awesome! Nilikuwa sijui...kwa hiyo yeyote anaweza kupata hiyo fursa? Nakuwa online muda mrefu.
 
Leo ile naingia JamiiFourms nakuta akaunti yangu haipo.Hivyo nilitakiwa ni login tena.

Aisee nilipuuza muda mrefu kuhifadhi kumbukumbu ya details za ku login. Hivyo Leo sikujua nifanye nini kurudi kwa akaunti yangu,

Nimefanya utundu kwa muda , nashukuru nime bahatisha kuja back again.

Unajua kupoteza akaunti ya JamiiFourms levo ya EXPERT MEMBER ni hasara ya kidigital?

Hebu nambieni nyinyi (mabibi kwa mabwana) mnawezaje ku back up akaunti yako leo, ukipoteza bila kutarajia? 🚀🚀
Karibu tena sana.
 
Umefanyaje man? coz mi nilibidi nifungue nyingine tu.
Mod abegi😭
Pole ndugu. Mimi nilicho Fanya ni uikumbuka email yangu ya mwanzo, nikaiweka kwenye ukurasa wa login.

Mara Google ikaniuliza TUMIA NENOSIRI ULILO INGIZA MWANZONI.

Nika kubali na hapo hapo neno Siri likaja automatically. Nika login...ni bahati tu ndugu.

Pole kwa kupoteza akaunti.
 
Awesome! Nilikuwa sijui...kwa hiyo yeyote anaweza kupata hiyo fursa? Nakuwa online muda mrefu.
Swali zuri.
Si yoyote anaweza kupata hii furasa ila boss melo huwa anaangalia mienendo ya uchangiaji wa mtu kwenye majukwaa mbali mbali pia na nyuzi za mtu husika kikubwa uwe na nidhamu
Kwa mfano watu kama Binti wa zamani lamomy na cocastic hawawezu kupata nafasi hii wanapenda ugomvi ..huyu binti wa zamani pia nyuzi zake zinahamasisha naniliuuuu
 
Hapo nimeelewa kwa undani wastani. Kwa mfano kazi yako wewe ni nini? Ku ban watu au?
 
Back
Top Bottom