Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Ninazo nyingi kama yule daktari uchwara, siku nikija kushushiwa maPDF mje tu kunitetea 😂😆Nashangaa sana usikute ana I'd nyengine ndiyo analipwa nayo ila hii hatuijui😂😂😂
Ninazo nyingi kama yule daktari uchwara, siku nikija kushushiwa maPDF mje tu kunitetea 😂😆Nashangaa sana usikute ana I'd nyengine ndiyo analipwa nayo ila hii hatuijui😂😂😂
Oya mshangazi ukishambuliwa nitag hatuwezi kupoteza mtu wa muhimu kwa maneno ya watu 😂Ninazo nyingi kama yule daktari uchwara, siku nikija kushushiwa maPDF mje tu kunitetea 😂😆
Tumsamehe amekubali kama ana I'd nyingi kama docta 😅Tumchongee kwa melo 😅
Nitakutag, ila nina thick skin, siwezi kupotea kinyonge, nitabaki humu humu 😂Oya mshangazi ukishambuliwa nitag hatuwezi kupoteza mtu wa muhimu kwa maneno ya watu 😂