Shammy-
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 7,174
- 18,884
Ku unban watu wanaobaniwaHapo nimeelewa kwa undani wastani. Kwa mfano kazi yako wewe ni nini? Ku ban watu au?
Ku unban watu wanaobaniwaHapo nimeelewa kwa undani wastani. Kwa mfano kazi yako wewe ni nini? Ku ban watu au?
Ili uweze kuifikia account yako mkuu itakuhitaji uweke email yako na account yako itafanikiwa kurudiShukrani ndugu nime karibia. Naona wewe ni Platinum member aisee! Sasa unaweza ku back up akaunti yako muda wowote?
Itafanikiwa kurudi wa msaada wa automatic wa simu si ndio? Vipi ukipoteza simu mazima? Ku back up utahitaji email na password kamiliIli uweze kuifikia account yako mkuu itakuhitaji uweke email yako na account yako itafanikiwa kurudi
Kwahiyo uwe na nidhamu nikikuchongea kwa moderator wanakulamba ban halafu mm sikubanui! sawa?
Usitangaze kwanza mpaka niwe milionea 😂😂Wengine tunalipwa
Sawa ngoja nifute commentUsitangaze kwanza mpaka niwe milionea 😂😂
Save with google account,inajidownlod yenyewe wewe unatiki tu!.Leo ile naingia JamiiFourms nakuta akaunti yangu haipo.Hivyo nilitakiwa ni login tena.
Aisee nilipuuza muda mrefu kuhifadhi kumbukumbu ya details za ku login. Hivyo Leo sikujua nifanye nini kurudi kwa akaunti yangu,
Nimefanya utundu kwa muda , nashukuru nime bahatisha kuja back again.
Unajua kupoteza akaunti ya JamiiFourms levo ya EXPERT MEMBER ni hasara ya kidigital?
Hebu nambieni nyinyi (mabibi kwa mabwana) mnawezaje ku back up akaunti yako leo, ukipoteza bila kutarajia? 🚀🚀
Hapana kama umesahau Fanya hivi Ukitaka kulog in, kuna sehemu pameandikwa, "Forgot your password?" Click hapo, jaza email yakoItafanikiwa kurudi wa msaada wa automatic wa simu si ndio? Vipi ukipoteza simu mazima? Ku back up utahitaji email na password kamili
🤣🤣🤣 Utauwa Watu kwa preshaWengine tunalipwa
VizuriMmmh ok nimeelewa !
Pole kumbe wanakulipa mara tatu kwa wiki 4 za mwezi halafu huniambiiSawa ngoja nifute comment
Vipi mwezi huu umelipwa mara 3 kama mimi?
Ndio kwani ww unalipwa mara ngapi?Pole kumbe wanakulipa mara tatu kwa wiki 4 za mwezi halafu huniambii
Mara nne na pia huwa napewa bonus kama nikilike comment ya Lucas 😂😂😂Ndio kwani ww unalipwa mara ngapi?
Kama umesahau Email?Njia ya ku backup ni Email tu.
Hiyo bonasi hata mm napewa ni ki m QUOTE busu la kenge😄Mara nne na pia huwa napewa bonus kama nikilike comment ya Lucas 😂😂😂
Anakudanganya mimi sipendi ugomvi ila ukinizingua, nakuzingua pia 😎.Kwa mfano watu kama Binti wa zamani lamomy na cocastic hawawezu kupata nafasi hii wanapenda ugomvi ..huyu binti wa zamani pia nyuzi zake zinahamasisha naniliuuuu
Ooh ibaki Siri sasa mpaka nijenge nyumba yangu kigamboni na Mimi nivimbe kama Vincenzo JrHiyo bonasi hata mm napewa ni ki m QUOTE busu la kenge😄