Wengine tunalipwaWengine tuna connection na mods ni simu Moja tunarud hewani
Kumbe wew ni mgeni jamii forum!Mmh unalipwa na mods? Kwa kazi gani unayo Fanya?
Karibu tena sana.Leo ile naingia JamiiFourms nakuta akaunti yangu haipo.Hivyo nilitakiwa ni login tena.
Aisee nilipuuza muda mrefu kuhifadhi kumbukumbu ya details za ku login. Hivyo Leo sikujua nifanye nini kurudi kwa akaunti yangu,
Nimefanya utundu kwa muda , nashukuru nime bahatisha kuja back again.
Unajua kupoteza akaunti ya JamiiFourms levo ya EXPERT MEMBER ni hasara ya kidigital?
Hebu nambieni nyinyi (mabibi kwa mabwana) mnawezaje ku back up akaunti yako leo, ukipoteza bila kutarajia? šš
Pole ndugu. Mimi nilicho Fanya ni uikumbuka email yangu ya mwanzo, nikaiweka kwenye ukurasa wa login.Umefanyaje man? coz mi nilibidi nifungue nyingine tu.
Mod abegiš
Swali zuri.Awesome! Nilikuwa sijui...kwa hiyo yeyote anaweza kupata hiyo fursa? Nakuwa online muda mrefu.
Hapo nimeelewa kwa undani wastani. Kwa mfano kazi yako wewe ni nini? Ku ban watu au?Swali zuri.
Si yoyote anaweza kupata hii furasa ila boss melo huwa anaangalia mienendo ya uchangiaji wa mtu kwenye majukwaa mbali mbali pia na nyuzi za mtu husika kikubwa uwe na nidhamu
Kwa mfano watu kama Binti wa zamani lamomy na cocastic hawawezu kupata nafasi hii wanapenda ugomvi ..huyu binti wa zamani pia nyuzi zake zinahamasisha naniliuuuu