Nashukuru nimefanikiwa ku-log in tena kwenye akaunti yangu ya JamiiFourms!

Ili uweze kuifikia account yako mkuu itakuhitaji uweke email yako na account yako itafanikiwa kurudi
Itafanikiwa kurudi wa msaada wa automatic wa simu si ndio? Vipi ukipoteza simu mazima? Ku back up utahitaji email na password kamili
 
Save with google account,inajidownlod yenyewe wewe unatiki tu!.
 
Kwa mfano watu kama Binti wa zamani lamomy na cocastic hawawezu kupata nafasi hii wanapenda ugomvi ..huyu binti wa zamani pia nyuzi zake zinahamasisha naniliuuuu
Anakudanganya mimi sipendi ugomvi ila ukinizingua, nakuzingua pia 😎.

Kuhusu kuhamasisha ni kweli, huwa nazungumzia kwa kujinafasi mambo ya raha, mapenzi, midinyano, utamu, kukojozana n.k

Welcome back Nikola24
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…