Hata namba hakuomba? Basi amebarikiwaAsante. Hakuchukua hata mia
Asante. Hakuchukua hata mia
Usisahau kumshukuru mtu mzima🤣Wakuu habari
Baada ya kuweka uzi kuulizia namna ya kuingia Lusaka Zambia nilipata mawazo mengi ya kujenga na pia uzi huu ulinikutanisha na huyu member anayejiita imhotep ambaye aliniongoza kwenye mchakato mzima wa kubadili pass yangu ya zamani na kufanikisha kupatikana kwa pass mpya.
Asante sana JF na huyu member ambaye amekuwa na uaminifu sana uvumilivu na upendo wa hali ya juu. Huyu jamaa yuko connected hapa Town si kitoto.
Kweli watu wema bado wapoo.
Hela hata mimi nairudisha,Nami kuna mtu alinisaidia nikamrushia hela kidogo ya shukran aliirudisha akasema hahitaji
Nilishangaa sana watu wema wapo
AmenJitahidi ulipe kwingine lililo ndani ya uwezo wako
Saidia bila kitarajia malipo kwa yeyote atakayejitokeza.
#Pay forward to any one
Trust me, kuna baraka tele.