Nashukuru nimepata Passport kwa msaada wa @imhotep

Amen
Hata mimi nimeshasaidia watu wengi mno bila malipo japo wao hawakuwahi hata ku appreciate kwa maneno. Bado nitasaidia tena
Ukiacha kusaidia kwa tabia za watu wachache unakua huwatendea haki wengine wanaokuhitaji so 👊🏾👊🏾👊🏾👊🏾 to you!
 
Wakuu habari

Baada ya kuweka uzi kuulizia namna ya kuingia Lusaka Zambia nilipata mawazo mengi ya kujenga na pia uzi huu ulinikutanisha na huyu member anayejiita imhotep ambaye aliniongoza kwenye mchakato mzima wa kubadili pass yangu ya zamani na kufanikisha kupatikana kwa pass mpya.

Asante sana JF na huyu member ambaye amekuwa na uaminifu sana uvumilivu na upendo wa hali ya juu. Huyu jamaa yuko connected hapa Town si kitoto.

Kweli watu wema bado wapoo.
Kupata pasi kunahitaji connection?
 
Hongera sana!
Ninavyojua kwa Mtanzania kuingia Zambia anatakiwa awe na passport ya Tanzania tu.
Hii ni kama anaenda kukaa mwezi mmoja, ila kama anakaa zaidi ya mwezi ndio analipia Visa
Au kuna mabadiliko?
 
Wakuu habari

Baada ya kuweka uzi kuulizia namna ya kuingia Lusaka Zambia nilipata mawazo mengi ya kujenga na pia uzi huu ulinikutanisha na huyu member anayejiita imhotep ambaye aliniongoza kwenye mchakato mzima wa kubadili pass yangu ya zamani na kufanikisha kupatikana kwa pass mpya.

Asante sana JF na huyu member ambaye amekuwa na uaminifu sana uvumilivu na upendo wa hali ya juu. Huyu jamaa yuko connected hapa Town si kitoto.

Kweli watu wema bado wapoo.
Jambo jema sana kurudisha mrejesho wa shukrani
 
Amen
Hata mimi nimeshasaidia watu wengi mno bila malipo japo wao hawakuwahi hata ku appreciate kwa maneno. Bado nitasaidia tena
Ndio maana hadi leo hii upo hai, afya njema na hujapatwa na majanga. Hiyo ndio faida ya msaada wako. Kuna namna nyingi sana ya kufaidika na wema unaoutoa. Wengi mbumbumbu wanadhani ukisaidia basi shukrani unayostahili ni pesa tu.
 
Amen
Hata mimi nimeshasaidia watu wengi mno bila malipo japo wao hawakuwahi hata ku appreciate kwa maneno. Bado nitasaidia tena
Binafsi hilo la kupongezwa/kushukuriwa huwa sio muumini nalo.

Yaani mtu asipotoa shukrani au atoe ni sawa tu, kikubwa huwa natarget huo msaada niliodhamiria kuutoa kuwa ukamilike basi.

Huwa naona haiingii akili, nitoe msaada halafu nianze kuisaka shukrani. Matokeo yake chuki itaibuka kisa huo msaada.
 
Wakuu habari

Baada ya kuweka uzi kuulizia namna ya kuingia Lusaka Zambia nilipata mawazo mengi ya kujenga na pia uzi huu ulinikutanisha na huyu member anayejiita imhotep ambaye aliniongoza kwenye mchakato mzima wa kubadili pass yangu ya zamani na kufanikisha kupatikana kwa pass mpya.

Asante sana JF na huyu member ambaye amekuwa na uaminifu sana uvumilivu na upendo wa hali ya juu. Huyu jamaa yuko connected hapa Town si kitoto.

Kweli watu wema bado wapoo.
Hongera sana Mkuu Imhotep kwa wema uliotukuka
 
Nikusaidie kiungo cha uzazi? Ndo nini tena? Au nikupatie kizazi changu kihamie kwako?
Kiungo cha uzazi tu... baaasi. Yani kale kamfereji pendwa kanakotumiwa ili uzazi utokee...

Sihitaji mengi....
 
Binafsi hilo la kupongezwa/kushukuriwa huwa sio muumini nalo.

Yaani mtu asipotoa shukrani au atoe ni sawa tu, kikubwa huwa natarget huo msaada niliodhamiria kuutoa kuwa ukamilike basi.

Huwa naona haiingii akili, nitoe msaada halafu nianze kuisaka shukrani. Matokeo yake chuki itaibuka kisa huo msaada.
Nisaidie buku 12 mzazi nipige K Vant moja kubwa nisahau shida zangu....

Naahidi ntakushukuru kwa moyo wangu wote
 
Back
Top Bottom