Nashukuru nimepata Passport kwa msaada wa @imhotep

Mbon ni rahisi sana kupata pasi mpya au kubadiri pasi mpya?? Haihitaji hata connection kama unavigezo/Documents zote
Aliniharakishia maandalizi ya documents zangu... yani mchakato mzima aliurahisisha sana.
Pia sikupanga folen za ovyo.... kwakweli alisaidia mno. Nilipata fast track service
 
Kwa vile wewe ni KE!
 
Ila ukiwa na Documents zote
Sijui cheti chako cha kuzaliwa, barua ya Serikali za mtaa au ofisi kama umeajiriwa ya utambulisho, Kitambulisho cha NIDA au namba tuu na pia photocopy,barua ya kuomba hiyo passport au kama ina uharaka unatoa taarifa kama ni ya mgonjwa,biashara sijui shule unapata haraka tuu Passport sio kipengele kwa wale wasio na safari kipindi cha karibuni omba wenyewe watakutumia meseji ufate Passport yako...
 
Imhotep baada ya kuacha siasa za ccm za roho mbaya amekuwa kijana mzuri sana
 
Asikwambie mtu pasi za kupasiana bado zipo. Me ndo nakwambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…