Nashukuru nimepata Passport kwa msaada wa @imhotep

Amen
Hata mimi nimeshasaidia watu wengi mno bila malipo japo wao hawakuwahi hata ku appreciate kwa maneno. Bado nitasaidia tena
Aminaa mtumishi. Nitakuomba kitu unisaidie. Kitu nitakochokuomba kiko ndani ya uwezo wako. Na ndio tiba yangu.
 
Humu Jf kuna watu wakubwa na matajiri sana na wana mioyo safi,ni vile tu jinsi utakavyokuwa unabehave humu ndio utakuwa connected nao..utakuta mtu kjla thread anatukana watu,anaongea pumba,comment za kidwanzi huwezi kuwa connected,Hongera kwa hilo ulilofanikiwa ukiona jamaa mpk kajitolea kukusaidia halafu yupo connected sana ujue alishakusoma tabiaa zako humu jamvini kuna watu humu hawawezi kusaidiwa kamwe
 
kweli kabisa mkuu watu wema na wenye maisha yao wamejaa humu na wajinga sana pia wapo. unavyoishi ndio utakavyojipimia ukutane na wa aina gani.
hata hapa nimekaa na mJf ananisaidia kazi fulani kiroho safi kabisa.
 
Aminaa mtumishi. Nitakuomba kitu unisaidie. Kitu nitakochokuomba kiko ndani ya uwezo wako. Na ndio tiba yangu.
hahaha mbona unaanza kuniogopesha maana ushajiaminisha kabisa
 
Na mm nahitaji mtu wa kunifanyia msaada wa kupata uhamisho chap kwa kijana wangu wa sekondari.
 
Hajaomba utelezi?😃
Good acknowledgement
 
Tupia nomber yake
 
Passport kuipata sio kazi ndogo ndio maana kuna watu hyo pass ya kulipia laki 150 mtu anatumia mpk laki 3 ndio anaipata alouliza hilo swali ni kama hajui usumbufu wa mle ndani....mtu anaweza amua tyu

Passport kuipata sio kazi ndogo ndio maana kuna watu hyo pass ya kulipia laki 150 mtu anatumia mpk laki 3 ndio anaipata
mle ndani mtu anaweza kuamua tu kukukwamisha ili kutengeneza mazingira ya rushwa mara akwambie document hii haipo sawa..... me nilioshaomba pass ya zamani na nilipata ndani ya siku 3 ila kwa kushikwa mkono pia bila malipo yoyote.....ukiwa na mtu wa kukushika mkono fasta sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…