vipanda thamani
JF-Expert Member
- Jul 7, 2022
- 411
- 668
Nikupe trick pale Zambia kupita Napo sio bure,hata kama Una KiLa kitu Kwanza kuna vijana pale wanacheza kukuchomesha Yani nenda kivyako kbsa usiende na mtu yote Yani hata kama uko kwenye basi nenda kivyako kbsa,ukiendq kigroup pale utaambiwa show money halaf watataka pesa yakohapana
kaka wa watu hana ishu hizo
DUHHNikupe trick pale Zambia kupita Napo sio bure,hata kama Una KiLa kitu Kwanza kuna vijana pale wanacheza kukuchomesha Yani nenda kivyako kbsa usiende na mtu yote Yani hata kama uko kwenye basi nenda kivyako kbsa,ukiendq kigroup pale utaambiwa show money halaf watataka pesa yako
Kaka endelea tu kusaidia hujui tu lkn apo ulipo ulinzi wa Mungu kutokana na misaada unayotoa huenda ndo inakuepusha na mengiAmen
Hata mimi nimeshasaidia watu wengi mno bila malipo japo wao hawakuwahi hata ku appreciate kwa maneno. Bado nitasaidia tena
Humu Jf kuna watu wakubwa na matajiri sana na wana mioyo safi,ni vile tu jinsi utakavyokuwa unabehave humu ndio utakuwa connected nao..utakuta mtu kjla thread anatukana watu,anaongea pumba,comment za kidwanzi huwezi kuwa connected,Hongera kwa hilo ulilofanikiwa ukiona jamaa mpk kajitolea kukusaidia halafu yupo connected sana ujue alishakusoma tabiaa zako humu jamvini kuna watu humu hawawezi kusaidiwa kamwe