Nasibu S.M form 6 Ndanda Sec alikuwa na changamoto gani?

Ukienda kuoa uzaramoni wakwr zako lazima wakuwrkee ukoko uliokolea nazi na chuzi la kuku lenye firigisi
 
Ila amenikumbusha mbali, lile harage lenye chuzi jeupeeee, likiwekwa kwenye bakuli linalia kama halikuwahi kupikwa, huku likiwa limeoga mafuta ya taa au sabuni(huu ukatili sijui kama bado wanafanyiwa Hawa vijana wa siku hizi)😂😂😂😂😂.
Mafuta ya taa hutumika zaidi kwenye shule za bweni za wanafunzi Ke. Nayo huwekwa kidogo tuu kwenye mboga. Ila sabuni ndo nasikia leo.
 
Sabuni inakwanguliwa ya kipande, inawekwa humo ndani... Sijui zilikua na maana gani ila kwa tetesi tu wanasema husaidia kupunguza homoni zinazochochea hamu ya kufanya mapenzi (ila licha ya hayo yote bado watu walikua wanachafua mabafu Kila wakati😂😂)
 
Hilo ndo lengo kuu na hadi leo hiyo kitu inafanyika - ni siri ya wapishi hawaambiwi walengwa. Lakini pia ujue kuna wale ngangari dawa haiwaingii the same kama Hospitali huyu anapona yule haponi kwa dawa hiyo hiyo.
 
Yeah sure mkuu
 
S
Hizo janja janja tu za vijana... Ukoko ni mwingi kwahiyo unaachiwa jungu baada ya wenzako wote kupewa kikombe kimoja cha wali, ila alichonishangaza ni namna alivyomshawishi huyo mkuu wa shule hadi kumpa hiko kibali😂😂😂
ijawahii kuwa kiongozi wa chakula wala nn lkn saba na nusu nshakula na top layer juu na nyama siku za nyama! 😂
 
Huu msamiati wa top layer huwa ni maarufu shule nyingi za bweni, nilipousoma hadi nikahisi naongea na mtu nnaemjua😅😅😅... Sema itakua ulikua mbabe au ulikua mjanja mjanja au kiongozi wa chakula alikua rafiki yako ndio maana ilikua hivyo.
 
Ubabe sina Niko very kinda Ila ujanja mwingi

By then nilikuwa na rafiki kiongozi wa chakula sikuwah ona impact yoyote aseeh zaidi sana nilijiongeza mapema ko nikawini 😂😂........
 
Back
Top Bottom