Nasibu S.M form 6 Ndanda Sec alikuwa na changamoto gani?

Nasibu S.M form 6 Ndanda Sec alikuwa na changamoto gani?

Hawa wakulindwa ndio huwa wanasumbua sana wakifikaga chuo, wanakua moto sana coz wanataka kufidia ule muda wa kubanwa😂😂
By then i have enjoyed a lot ordinary and advance level

Sikuteseka for sure nilipata protection ukizingatia nilikuwa naonekna km kachalii......

Aani life was amazing sijajua kwa wadg zetu wa sasa
 
By then i have enjoyed a lot ordinary and advance level

Sikuteseka for sure nilipata protection ukizingatia nilikuwa naonekna km kachalii......

Aani life was amazing sijajua kwa wadg zetu wa sasa
Watakua wanenjoi zaidi ya kipindi cha nyuma
 
Yeah shule za boarding ukitaka ufurahie maisha uwe kiongozi na ukiweza jitahidi uwe kiongozi wa msosi au wa dom kama wewe kwa maana viongozi wa dom huwa wanaheshimiwa sana kutokana na zile favor za kujificha bwenini muda wa prepo😅
Katika kitu watu walikiogopa pale u boyzn high school.

Uongozi wa chakula yaan jamaa walikua wanakula top layer na kunenepa Sana mwisho wa siku ni division zero ☺️😊

Kuna tatizo kwenye kushiba Sanaa 🏃 🏃
 
Back
Top Bottom