GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Pambana wanao wawe wanakula vzr.Siku dogo aliponiambia baba shule tunakula vizuri kuliko nyumbani, nikajua hapo hakuna shule likizo itakuwa anaenda kijijini kuchunga mbuzi
Wanakula vizuri, alikuwa ananizingua rafiki yake. Ila msg ilikuwa kwenye msosi shule ipo vizuriPambana wanao wawe wanakula vzr.
Mafuta ya taa hutumika zaidi kwenye shule za bweni za wanafunzi Ke. Nayo huwekwa kidogo tuu kwenye mboga. Ila sabuni ndo nasikia leo.Ila amenikumbusha mbali, lile harage lenye chuzi jeupeeee, likiwekwa kwenye bakuli linalia kama halikuwahi kupikwa, huku likiwa limeoga mafuta ya taa au sabuni(huu ukatili sijui kama bado wanafanyiwa Hawa vijana wa siku hizi)πππππ.
kama ni hivyo sawa.Wanakula vizuri, alikuwa ananizingua rafiki yake. Ila msg ilikuwa kwenye msosi shule ipo vizuri
Uliwin weweKabisa Mkuu
Niliendelea kuwa dormitory leader Kwa miaka miwili ya A'level
Sabuni inakwanguliwa ya kipande, inawekwa humo ndani... Sijui zilikua na maana gani ila kwa tetesi tu wanasema husaidia kupunguza homoni zinazochochea hamu ya kufanya mapenzi (ila licha ya hayo yote bado watu walikua wanachafua mabafu Kila wakatiππ)Mafuta ya taa hutumika zaidi kwenye shule za bweni za wanafunzi Ke. Nayo huwekwa kidogo tuu kwenye mboga. Ila sabuni ndo nasikia leo.
Hahaha...............ilikuwa ni nafasi nyeti kama ilivyo Wizara ya Fedha kwasasa πUliwin wewe
Hilo ndo lengo kuu na hadi leo hiyo kitu inafanyika - ni siri ya wapishi hawaambiwi walengwa. Lakini pia ujue kuna wale ngangari dawa haiwaingii the same kama Hospitali huyu anapona yule haponi kwa dawa hiyo hiyo.Sabuni inakwanguliwa ya kipande, inawekwa humo ndani... Sijui zilikua na maana gani ila kwa tetesi tu wanasema husaidia kupunguza homoni zinazochochea hamu ya kufanya mapenzi (ila licha ya hayo yote bado watu walikua wanachafua mabafu Kila wakatiππ)
Yeah sure mkuuHilo ndo lengo kuu na hadi leo hiyo kitu inafanyika - ni siri ya wapishi hawaambiwi walengwa. Lakini pia ujue kuna wale ngangari dawa haiwaingii the same kama Hospitali huyu anapona yule haponi kwa dawa hiyo hiyo.
Kijana wa hashimu rungwe π πView attachment 3234164
Waliokuwa naye hapa Ndanda tunaomba taarifa. Hiki kibali ni kizito sana
Dormitory leader two years Mandara Dom Kilimanjaro BoysKabisa Mkuu
Niliendelea kuwa dormitory leader Kwa miaka miwili ya A'level
Tusi la wazi π€£Siku dogo aliponiambia baba shule tunakula vizuri kuliko nyumbani, nikajua hapo hakuna shule likizo itakuwa anaenda kijijini kuchunga mbuzi
Kwa mzabuniAna bast
ijawahii kuwa kiongozi wa chakula wala nn lkn saba na nusu nshakula na top layer juu na nyama siku za nyama! πHizo janja janja tu za vijana... Ukoko ni mwingi kwahiyo unaachiwa jungu baada ya wenzako wote kupewa kikombe kimoja cha wali, ila alichonishangaza ni namna alivyomshawishi huyo mkuu wa shule hadi kumpa hiko kibaliπππ
Hongera sana Mkuu ππππDormitory leader two years Mandara Dom Kilimanjaro Boys
Huu msamiati wa top layer huwa ni maarufu shule nyingi za bweni, nilipousoma hadi nikahisi naongea na mtu nnaemjuaπ π π ... Sema itakua ulikua mbabe au ulikua mjanja mjanja au kiongozi wa chakula alikua rafiki yako ndio maana ilikua hivyo.S
ijawahii kuwa kiongozi wa chakula wala nn lkn saba na nusu nshakula na top layer juu na nyama siku za nyama! π
Ubabe sina Niko very kinda Ila ujanja mwingiHuu msamiati wa top layer huwa ni maarufu shule nyingi za bweni, nilipousoma hadi nikahisi naongea na mtu nnaemjuaπ π π ... Sema itakua ulikua mbabe au ulikua mjanja mjanja au kiongozi wa chakula alikua rafiki yako ndio maana ilikua hivyo.