Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 3,711 Reaction score 6,762 Feb 15, 2025 #61 Thecoder said: Hawa wakulindwa ndio huwa wanasumbua sana wakifikaga chuo, wanakua moto sana coz wanataka kufidia ule muda wa kubanwa😂😂 Click to expand... By then i have enjoyed a lot ordinary and advance level Sikuteseka for sure nilipata protection ukizingatia nilikuwa naonekna km kachalii...... Aani life was amazing sijajua kwa wadg zetu wa sasa
Thecoder said: Hawa wakulindwa ndio huwa wanasumbua sana wakifikaga chuo, wanakua moto sana coz wanataka kufidia ule muda wa kubanwa😂😂 Click to expand... By then i have enjoyed a lot ordinary and advance level Sikuteseka for sure nilipata protection ukizingatia nilikuwa naonekna km kachalii...... Aani life was amazing sijajua kwa wadg zetu wa sasa
Thecoder JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 1,590 Reaction score 4,244 Feb 15, 2025 #62 Monetary doctor said: By then i have enjoyed a lot ordinary and advance level Sikuteseka for sure nilipata protection ukizingatia nilikuwa naonekna km kachalii...... Aani life was amazing sijajua kwa wadg zetu wa sasa Click to expand... Watakua wanenjoi zaidi ya kipindi cha nyuma
Monetary doctor said: By then i have enjoyed a lot ordinary and advance level Sikuteseka for sure nilipata protection ukizingatia nilikuwa naonekna km kachalii...... Aani life was amazing sijajua kwa wadg zetu wa sasa Click to expand... Watakua wanenjoi zaidi ya kipindi cha nyuma
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 3,711 Reaction score 6,762 Feb 15, 2025 #63 Thecoder said: Watakua wanenjoi zaidi ya kipindi cha nyuma Click to expand... Pengine inawezkn kabisa 😂
Thecoder said: Watakua wanenjoi zaidi ya kipindi cha nyuma Click to expand... Pengine inawezkn kabisa 😂
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Feb 15, 2025 #64 Smart911 said: Special needs kawaida sana... Cc: Mahondaw Click to expand... Mungu amsaidie apone IJN! Amen
Smart911 said: Special needs kawaida sana... Cc: Mahondaw Click to expand... Mungu amsaidie apone IJN! Amen
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 11,640 Reaction score 24,066 Feb 15, 2025 #65 Thecoder said: Yeah shule za boarding ukitaka ufurahie maisha uwe kiongozi na ukiweza jitahidi uwe kiongozi wa msosi au wa dom kama wewe kwa maana viongozi wa dom huwa wanaheshimiwa sana kutokana na zile favor za kujificha bwenini muda wa prepo😅 Click to expand... Katika kitu watu walikiogopa pale u boyzn high school. Uongozi wa chakula yaan jamaa walikua wanakula top layer na kunenepa Sana mwisho wa siku ni division zero ☺️😊 Kuna tatizo kwenye kushiba Sanaa 🏃 🏃
Thecoder said: Yeah shule za boarding ukitaka ufurahie maisha uwe kiongozi na ukiweza jitahidi uwe kiongozi wa msosi au wa dom kama wewe kwa maana viongozi wa dom huwa wanaheshimiwa sana kutokana na zile favor za kujificha bwenini muda wa prepo😅 Click to expand... Katika kitu watu walikiogopa pale u boyzn high school. Uongozi wa chakula yaan jamaa walikua wanakula top layer na kunenepa Sana mwisho wa siku ni division zero ☺️😊 Kuna tatizo kwenye kushiba Sanaa 🏃 🏃