Nasikia Cement imepanda hadi kuuzwa Sh 22,000 kwa mfuko. Mtaani kwenu mnanunua kwa bei gani?

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
706
Reaction score
1,716
Nimeona taarifa hii ya Azam TV ikieleza kuwa cement imepanda na kuwa baadhi ya maeneo inauzwa hadi Shilingi 22,000 hadi 23,500kwa mfuko wakati awali ilikuwa inaiuzwa kati ya Shilingi 15,000 hadi 17,000, sasa imekuwaje ghafla tu mzigo umepanda kwa kiwango hicho? Kuna nini nyuma ya pazia?

====================================

Shughuli za ujenzi nchini zinaweza kukumbwa na ongezeko la gharama baada ya bei ya saruji kupanda kutoka wastani wa shilingi 16,000 hadi 18,500, na kufikia shilingi 22,000 kwa mfuko mmoja katika baadhi ya maeneo.

Hali hiyo, inayohusishwa pia na upungufu wa upatikanaji wa bidhaa hiyo na kusababisha baadhi ya maduka kusitisha shughuli, imeibua wasiwasi miongoni mwa wananchi, wakandarasi na wafanyabiashara.

Serikali imesema inafahamu changamoto hiyo na tayari imeanza kuchukua hatua za kutafuta suluhisho, ikiwemo kufanya mazungumzo na wadau na wawekezaji katika sekta ya saruji ili kuhakikisha upatikanaji wa bidhaa hiyo na kudhibiti athari za ongezeko la bei katika sekta ya ujenzi.
 
View attachment 3644265​

ROSTAM AZIZI NA WAHALIFU WENZIE WASIPO DONDOKA NI NDOTO TAIFA KUPONA ...SIYO KWAMBA BEI IMEPANDA BALI NI DALILI YA KUANGUKA KWA SH YETU ..JAMBO AMBALO NI BAYA SANA
 
Back
Top Bottom