Nasikia eti mnazitamani tena BUREAU DE CHANGE mmesahau pigo la APRIL 30,2015?

Nasikia eti mnazitamani tena BUREAU DE CHANGE mmesahau pigo la APRIL 30,2015?

Hawa hawa unaowatetea ndio hawa hawa waliiba hizo pesa na ndio hawahawa walipitisha huko Byuo di chenji na ndio hao hao wenye pesa na madaraka. Ujitekenya na kujicheka. Hata leo dola moja ni 2314tsh .

Kama huzalishi na kuuza bidhaa nje you will never fight a weakening Shilling valusle against Dollars.
Mbona mkuu tunazalisha mahindi na kuuza nje? Tatizo liko wapi?
 
Back
Top Bottom