Tetesi: Nasikia Hamidu Matembo amekatwa mguu?

we bwege sana ujue...hivi unamjua heri mzozo wewe au big papa... au ushawahi kusikia mabalaa ya kitaani ya bondia marehemu thomas mashari?.
Huo sasa ndio ubwege niliosema sasa, hivi nyinyi wanaume wa Dar ni nani alie waroga ninyi??? Mwanaume hupashwi kuogopa. jombaa,, yaani huoni hata aibu kumsifia dume mwenzio eti oooh unamjua heri mzoo wewe!! Hovyo kabisa wewe dadeq
 
shida ya vijana wa mikoani au wale mliongia dar mkiwa watu wazima ni ushamba na kukosa exposure.

matokeo yake mnaishia kutulaumu sisi vijana wa "don town" kana kwamba ndio tuliowasababishia matatizo yenu ya huko mikoani.

povu ruksa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huo sasa ndio ubwege niliosema sasa, hivi nyinyi wanaume wa Dar ni nani alie waroga ninyi??? Mwanaume hupashwi kuogopa. jombaa,, yaani huoni hata aibu kumsifia dume mwenzio eti oooh unamjua heri mzoo wewe!! Hovyo kabisa wewe dadeq
Mkuu hawa watu chips zinawalainisha wanakuwa kama wa kike kike aisee. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Wewe ushawahi sikia mkoani kuna vikundi vya kijingajinga hivyo? Mara Tembo,mara sijui panya road mara sijui nn yoso? Hebu kuweni majasili aiseee acheni kula chips na kuku matahira na burger.
ila vikundi vya vijana ambao wanafanya mauaji kwa akina mama na vibibi vizee kwa tuhuma za kichawi nishazisikia sana.

hapa dar hakuna ujinga kama huo.
[emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Mkuu hawa watu chips zinawalainisha wanakuwa kama wa kike kike aisee. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
watu wa mikoani mna ujinga sana....pls limeni mazao kwa wingi... sisi tutakuja kununua kwa bei ya jumla. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa wewe huoni kua mkoani wanaume hawataki mzaha??
 
mnajuana
 
Wewe ushawahi sikia mkoani kuna vikundi vya kijingajinga hivyo? Mara Tembo,mara sijui panya road mara sijui nn yoso? Hebu kuweni majasili aiseee acheni kula chips na kuku matahira na burger.
Mbeya nimesikia kuna Wakorea weusi
 
Ila Hamidu pamoja na uhuni wote,ni mtu mpenda haki sana.Hata kama ulikuwa umeibiwa simu,ukimfuata Hamidu kulikuwa na uwezekano wa kuipata simu yako.Kandahar zone wanajua hilo.
Ila kuna siku alipigwa na ustadh mmoja hivi wale wa kuvaa kanzu fupi pale stendi ya shamba.
 
Alikuwa balaa sana huyu jamaa nikipata picha ya jinsi alivyokatwa nitaileta jamvini amesumbua sana huyu jamaa.
Weka picha mkuu..
Alikuwa balaa sana huyu jamaa nikipata picha ya jinsi alivyokatwa nitaileta jamvini amesumbua sana huyu jamaa.Alikuwa balaa sana huyu jamaa nikipata picha ya jinsi alivyokatwa nitaileta jamvini amesumbua sana huyu jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…