Tetesi: Nasikia Hamidu Matembo amekatwa mguu?

Tetesi: Nasikia Hamidu Matembo amekatwa mguu?

Aisee.. wanaume wa dar bhana. Yani kamtu kama haka ndo mnakaogopa? What a shame?
huyo mseng.e mkono wake una 'muku'ukila light moja hurudi...mzozo alikuwa anatiririsha defenda inasepa..naon siku hiz tagi kwa madogo..ukienda bar mpya utaon wakina jibaba,wakutimba,iddi bonge tongololo,..wakali wa danta..watu bado wanasumbua.
 
Sikuwahi kumsikia mkuu!!!
Unajua mie sikuwa mtembeaji kabisa,nilikuwa ni mtu ambaye nilipenda kukaa nyumbani na kusaidia kazi za nyumbani na sikuwa mtu wa kutoka otherwise nimetumwa pale duka la jeshi Lugalo kununua mvinyo wa bei che basi narudi home,kama ni kutembea nilipenda kwenda kutembe pale maeneo ya daraja la Manzese nakaa kule juu ata masaa3 kisha narudi home,enzi hizo sii Manzese hii ya 'Walokole" naongelea Manzese ile ya vujo nyingi na biashara za nguo za mitumba,nauli ya daladala ilikuwa 50 kwa sisi madogo na 100 kwa mkubwa!!enzi hizo kuna kampuni1 tu ya simu inaitwa MOBITEL kabla ya kuwa sijui BUZZ,yale masimu makubwa yalikuwa yanauzwa laki3!
So sikuweza kuyafahamu makundi ya kihuni kabisa!
sema ulikuwa 'hausi boyi'
 
Hamidu alikaa Segedansi kama miezi minane hivi.Nadhani ilikuwa mwaka 2015.Alimdhulumu laptop bro mmoja hivi MTU wa system halafu alikuwa na affiliation na watu wa doxii.Jamaa akamletea wazee.Alikaa ndani muda mrefu sana.Hata baba ake Mzee Njohoka wakati anavuta hadi anaenda kuzikwa kwao Songea ,Hamidu alikuwa Ndichi
Mzee Njowoka wa Sinza?🙁🙁🙁
 
Segedansi
doxii
Ndichi

Ndo nini mkuu!!
 
Mwanza miaka ya 2005-2010s kulikua na vikundi vingi saana manyirizu sahara, watengwa vampare wa pasians pimpili ya nyamanoro tena Athuman ndo alikua chambo mabatini nayo ilijaa vikundi vikiongozwa na watoto wa sakara kulwa na doto Nyakato napo kulikua na makundi Isamilo lilikuwepo black power kiongozi wao alikua Musa dudu tukienda Mara walikuepo mdomo wa furu na mbio za vijiti utasemaje mikoan hayakuepo
Igoma kuna wezi hadi leo hii wanajiita wazambili,wanawahenyesha kinooma
 
Hamidu alikaa Segedansi kama miezi minane hivi.Nadhani ilikuwa mwaka 2015.Alimdhulumu laptop bro mmoja hivi MTU wa system halafu alikuwa na affiliation na watu wa doxii.Jamaa akamletea wazee.Alikaa ndani muda mrefu sana.Hata baba ake Mzee Njohoka wakati anavuta hadi anaenda kuzikwa kwao Songea ,Hamidu alikuwa Ndichi
Hapa muhenga haambulii kitu😀😀
 
huyo mseng.e mkono wake una 'muku'ukila light moja hurudi...mzozo alikuwa anatiririsha defenda inasepa..naon siku hiz tagi kwa madogo..ukienda bar mpya utaon wakina jibaba,wakutimba,iddi bonge tongololo,..wakali wa danta..watu bado wanasumbua.
[emoji13] hatari sana Idd Bonge si alikuwa anakusanya ushuru soko la mwenge hivi bado yupo pale mpaka sasa ?
 
Mwanza miaka ya 2005-2010s kulikua na vikundi vingi saana manyirizu sahara, watengwa vampare wa pasians pimpili ya nyamanoro tena Athuman ndo alikua chambo mabatini nayo ilijaa vikundi vikiongozwa na watoto wa sakara kulwa na doto Nyakato napo kulikua na makundi Isamilo lilikuwepo black power kiongozi wao alikua Musa dudu tukienda Mara walikuepo mdomo wa furu na mbio za vijiti utasemaje mikoan hayakuepo
Niliwahi kuishi Mwanza pale mabatini kwenye kambi ya FFU way back.. Pale Mabatini Nyumba kama hakuna mtoto kahaba anaejiuza basi kuna wanauza gongo.

Nakumbuka watoto wa Sakala wale kulwa na dotto na crew lao wakipambana na Manyilizu waliowafuata hadi kwao pale mabatini..ilikuwa Kosovo kama la dakika tano tu but damu ilikuwa inanuka hadi hewani ni mwendo wa bisibisi, mapanga, minyororo ya baiskeli, vyupa vya bia vinapishana tu hewani.

At that time nishakuwa na roho ngumu sana maana nilisoma shule ya Buswelu way back tunaitwa Mabush runner kipindi hicho shule yetu ilikuwa ina vurugu kuliko shule yeyote ile Mwanza inamilikiwa na wakulima unakuta mwanafunzi wa form one ana miaka 29 kudadadeki na mshkaji wangu alishapigwaga na shoka likazama kichwani tukiwa kwenye michezo na Lake secondary..nilijikuta na Mimi nimekuwa Mafioso tu ili kujihami. Daah!

Those days were horrible sana.
 
Sasa hilo tumbo akileta mzozo si atachafua barabara ya mwendokasi wakiamua kulitumbua?

hilo tumbo ni kwasababu ya umri kuanza kumtupa mkono,ila jamaa bado ana ubavu usio wa kawaida.

enzi za ujana wake alikuwa na umbo la kimazoezi.
3754ee3ca2a69941a5eaa856c45edb55.jpg

acha nikupe assignment ndogo.
mara nyingi heri mzozo huwa anapatikana uwanja wa taifa siku inapocheza azam fc au siku kunapokuwa na game kubwa ya simba vs yanga.

heri hupenda kukaa jukwaa la simba. hata mechi ijayo ya simba vs yanga ambayo itachezwa tarehe 29/04/2018, heri atakuwepo jukwaa la simba.

sasa assignment yangu ni wewe umsogolee halafu mtupie maneno ya karaha kuhusu tumbo lake.

nitakuwepo uwanjani na ki-IST changu nikisubiri kukubeba kukuwaisha hospital.
 
Back
Top Bottom