lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,920
- 3,388
huyo mseng.e mkono wake una 'muku'ukila light moja hurudi...mzozo alikuwa anatiririsha defenda inasepa..naon siku hiz tagi kwa madogo..ukienda bar mpya utaon wakina jibaba,wakutimba,iddi bonge tongololo,..wakali wa danta..watu bado wanasumbua.Aisee.. wanaume wa dar bhana. Yani kamtu kama haka ndo mnakaogopa? What a shame?
sema ulikuwa 'hausi boyi'Sikuwahi kumsikia mkuu!!!
Unajua mie sikuwa mtembeaji kabisa,nilikuwa ni mtu ambaye nilipenda kukaa nyumbani na kusaidia kazi za nyumbani na sikuwa mtu wa kutoka otherwise nimetumwa pale duka la jeshi Lugalo kununua mvinyo wa bei che basi narudi home,kama ni kutembea nilipenda kwenda kutembe pale maeneo ya daraja la Manzese nakaa kule juu ata masaa3 kisha narudi home,enzi hizo sii Manzese hii ya 'Walokole" naongelea Manzese ile ya vujo nyingi na biashara za nguo za mitumba,nauli ya daladala ilikuwa 50 kwa sisi madogo na 100 kwa mkubwa!!enzi hizo kuna kampuni1 tu ya simu inaitwa MOBITEL kabla ya kuwa sijui BUZZ,yale masimu makubwa yalikuwa yanauzwa laki3!
So sikuweza kuyafahamu makundi ya kihuni kabisa!
mzozo umemjua juzi.huyu jamaa ni wa friends rangers manzese,ila si mkorofi kivile
Mzee Njowoka wa Sinza?🙁🙁🙁Hamidu alikaa Segedansi kama miezi minane hivi.Nadhani ilikuwa mwaka 2015.Alimdhulumu laptop bro mmoja hivi MTU wa system halafu alikuwa na affiliation na watu wa doxii.Jamaa akamletea wazee.Alikaa ndani muda mrefu sana.Hata baba ake Mzee Njohoka wakati anavuta hadi anaenda kuzikwa kwao Songea ,Hamidu alikuwa Ndichi
Bila sha doxii na ndichi imekutoa bila bilaKhaaa!bila bila.
SegedansiHamidu alikaa Segedansi kama miezi minane hivi.Nadhani ilikuwa mwaka 2015.Alimdhulumu laptop bro mmoja hivi MTU wa system halafu alikuwa na affiliation na watu wa doxii.Jamaa akamletea wazee.Alikaa ndani muda mrefu sana.Hata baba ake Mzee Njohoka wakati anavuta hadi anaenda kuzikwa kwao Songea ,Hamidu alikuwa Ndichi
Igoma kuna wezi hadi leo hii wanajiita wazambili,wanawahenyesha kinoomaMwanza miaka ya 2005-2010s kulikua na vikundi vingi saana manyirizu sahara, watengwa vampare wa pasians pimpili ya nyamanoro tena Athuman ndo alikua chambo mabatini nayo ilijaa vikundi vikiongozwa na watoto wa sakara kulwa na doto Nyakato napo kulikua na makundi Isamilo lilikuwepo black power kiongozi wao alikua Musa dudu tukienda Mara walikuepo mdomo wa furu na mbio za vijiti utasemaje mikoan hayakuepo
Hapa muhenga haambulii kitu😀😀Hamidu alikaa Segedansi kama miezi minane hivi.Nadhani ilikuwa mwaka 2015.Alimdhulumu laptop bro mmoja hivi MTU wa system halafu alikuwa na affiliation na watu wa doxii.Jamaa akamletea wazee.Alikaa ndani muda mrefu sana.Hata baba ake Mzee Njohoka wakati anavuta hadi anaenda kuzikwa kwao Songea ,Hamidu alikuwa Ndichi
Heri Mzozo kiongozi wa Friends rangers au mwungine ?Hivi Hero Mzozo yupo?Somebody told me amekuwa MTU wa mkeka
Ndo huyoHeri Mzozo kiongozi wa Friends rangers au mwungine ?
Sasa hilo tumbo akileta mzozo si atachafua barabara ya mwendokasi wakiamua kulitumbua?yupo na kajaa tele ila utu uzima unazidi kuchukua nafasi....siku hizi kawa mtu muungwana sana.
kawa dingile. View attachment 739972
Huyo msela alikuwa mwana wa gang siyo ?Ndo huyo
[emoji13] hatari sana Idd Bonge si alikuwa anakusanya ushuru soko la mwenge hivi bado yupo pale mpaka sasa ?huyo mseng.e mkono wake una 'muku'ukila light moja hurudi...mzozo alikuwa anatiririsha defenda inasepa..naon siku hiz tagi kwa madogo..ukienda bar mpya utaon wakina jibaba,wakutimba,iddi bonge tongololo,..wakali wa danta..watu bado wanasumbua.
Niliwahi kuishi Mwanza pale mabatini kwenye kambi ya FFU way back.. Pale Mabatini Nyumba kama hakuna mtoto kahaba anaejiuza basi kuna wanauza gongo.Mwanza miaka ya 2005-2010s kulikua na vikundi vingi saana manyirizu sahara, watengwa vampare wa pasians pimpili ya nyamanoro tena Athuman ndo alikua chambo mabatini nayo ilijaa vikundi vikiongozwa na watoto wa sakara kulwa na doto Nyakato napo kulikua na makundi Isamilo lilikuwepo black power kiongozi wao alikua Musa dudu tukienda Mara walikuepo mdomo wa furu na mbio za vijiti utasemaje mikoan hayakuepo
Sasa hilo tumbo akileta mzozo si atachafua barabara ya mwendokasi wakiamua kulitumbua?