Tetesi: Nasikia Hamidu Matembo amekatwa mguu?

Mkuu unaweza kutuambia hiyo buswelu nyo--- ko ni ya miaka gani?? Kwenye 60-70 huko au?? Toka 1990-2010 nipo mwanza naijua, Igogo, isamilo, mirongo, nyakabungo, mwnz sec vita inahamia kule juu nyashana,, hiyo buswelu miaka IPI?? Huenda we mhenga..
 
Nimekuwa interested na story ya hao mapacha wa sakala.Walikuwa kina nani hao ? What were they doing ? Age ? I mean walifanya utemi wao kipindi gani?
Utemi wao waliufanya miaka ya 2006 hadi miaka ya 2010s baada ya mzee wao kufariki na wao pia walinusurika kuuawa ila mmojawao alishafariki.iliku Ni familia ya watoto wakorofi kishenzi isipokua Hussein tu.ndio alikua mstaarabu wao walikua hawaogopi kitu walikua na mishare mikuki marungu yaan wakivamia kundi mfano wakiwafata talent squd unaweza sema ni vita ya wavietinam na rambo
 
Mkuu unaweza kutuambia hiyo buswelu nyo--- ko ni ya miaka gani?? Kwenye 60-70 huko au?? Toka 1990-2010 nipo mwanza naijua, Igogo, isamilo, mirongo, nyakabungo, mwnz sec vita inahamia kule juu nyashana,, hiyo buswelu miaka IPI?? Huenda we mhenga..
Nyashana ulikua unawakuta Mbugani sec ambao watoto wengi wa ile shule walikua wa mabatin uswahilini rufiji na uhuru na wengine watoto wa washashi genge la masamaki. Sema kule vita ilikua sio saana sabab ya kambi ya jeshi
 
Duh ni hatari sana
 
we msela sana
 
Wewe ushawahi sikia mkoani kuna vikundi vya kijingajinga hivyo? Mara Tembo,mara sijui panya road mara sijui nn yoso? Hebu kuweni majasili aiseee acheni kula chips na kuku matahira na burger.
Watoto wa mkoa wachovu na wamezubaa wanaweza anzisha panyaroad kweli
 
Watu wa Arusha hawapo humu ndani nao watupe inside info
 
watoto wa kota hawafahamu hizi,kutoka jasho tu mtihani
ila hilo eneo,mabibo,ubungo,mazense ,mburahati,relini.kwa misimu tofauti tofauti yalikuwa hatari,ila kwa sasa kuna mtu azadini ubungo kibangu.
 
watoto wa kota hawafahamu hizi,kutoka jasho tu mtihani
ila hilo eneo,mabibo,ubungo,mazense ,mburahati,relini.kwa misimu tofauti tofauti yalikuwa hatari,ila kwa sasa kuna mtu azadini ubungo kibangu.
Azadin mdogo wake Shafii au Azadin yupi?
 
huwezi kuelewa... hizi story tunazielewa sisi tu watoto wa kihuni tuliokuwa familiar na wahuni wa mitaa ya ubungo, mabibo, kigogo na manzese.
Nyie wahuni wa kishamba sana, sisi tulikiwa tunatandika sana mkija kule mafichoni kwa akina mzee mbegu
 
Watu wa Arusha hawapo humu ndani nao watupe inside info
hao waoza meno wachumba tu... huwezi kuwalinganisha na watoto wa kihuni wa neighbourhood za dar.

kuna watu walifanya matukio mwishoni mwa miaka ya 90,mwanzaoni na katikati mwa miaka ya 2000 na record zao hazijavunjwa mpaka leo.
 
Uyo hamidu Alikuwa mbavu??
Hamidu ni wa kawaida tu sio mbavu.Ukimuona ni tofauti na jina lake lilivyokuwa kubwa kwa matukio.Uzito wake havuki kilo 68.Ila inasemekana ana mshipa wa nguvu,halafu amekomaa nunda.
Fani yake ni dereva mzuri tu wa malori makubwa ya mizigo.
 
Kuna mtt mwingine alikua mbabe wa pale kipembawe nae nasikia alikulaga shaba ya mguu sasa sijui naye anaendeleaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…