Tetesi: Nasikia Hamidu Matembo amekatwa mguu?

Tetesi: Nasikia Hamidu Matembo amekatwa mguu?

Niliwahi kuishi Mwanza pale mabatini kwenye kambi ya FFU way back.. Pale Mabatini Nyumba kama hakuna mtoto kahaba anaejiuza basi kuna wanauza gongo.

Nakumbuka watoto wa Sakala wale kulwa na dotto na crew lao wakipambana na Manyilizu waliowafuata hadi kwao pale mabatini..ilikuwa Kosovo kama la dakika tano tu but damu ilikuwa inanuka hadi hewani ni mwendo wa bisibisi, mapanga, minyororo ya baiskeli, vyupa vya bia vinapishana tu hewani.

At that time nishakuwa na roho ngumu sana maana nilisoma shule ya Buswelu way back tunaitwa Mabush runner kipindi hicho shule yetu ilikuwa ina vurugu kuliko shule yeyote ile Mwanza inamilikiwa na wakulima unakuta mwanafunzi wa form one ana miaka 29 kudadadeki na mshkaji wangu alishapigwaga na shoka likazama kichwani tukiwa kwenye michezo na Lake secondary..nilijikuta na Mimi nimekuwa Mafioso tu ili kujihami. Daah!

Those days were horrible sana.
Mkuu unaweza kutuambia hiyo buswelu nyo--- ko ni ya miaka gani?? Kwenye 60-70 huko au?? Toka 1990-2010 nipo mwanza naijua, Igogo, isamilo, mirongo, nyakabungo, mwnz sec vita inahamia kule juu nyashana,, hiyo buswelu miaka IPI?? Huenda we mhenga..
 
Nimekuwa interested na story ya hao mapacha wa sakala.Walikuwa kina nani hao ? What were they doing ? Age ? I mean walifanya utemi wao kipindi gani?
Utemi wao waliufanya miaka ya 2006 hadi miaka ya 2010s baada ya mzee wao kufariki na wao pia walinusurika kuuawa ila mmojawao alishafariki.iliku Ni familia ya watoto wakorofi kishenzi isipokua Hussein tu.ndio alikua mstaarabu wao walikua hawaogopi kitu walikua na mishare mikuki marungu yaan wakivamia kundi mfano wakiwafata talent squd unaweza sema ni vita ya wavietinam na rambo
 
Mkuu unaweza kutuambia hiyo buswelu nyo--- ko ni ya miaka gani?? Kwenye 60-70 huko au?? Toka 1990-2010 nipo mwanza naijua, Igogo, isamilo, mirongo, nyakabungo, mwnz sec vita inahamia kule juu nyashana,, hiyo buswelu miaka IPI?? Huenda we mhenga..
Nyashana ulikua unawakuta Mbugani sec ambao watoto wengi wa ile shule walikua wa mabatin uswahilini rufiji na uhuru na wengine watoto wa washashi genge la masamaki. Sema kule vita ilikua sio saana sabab ya kambi ya jeshi
 
Utemi wao waliufanya miaka ya 2006 hadi miaka ya 2010s baada ya mzee wao kufariki na wao pia walinusurika kuuawa ila mmojawao alishafariki.iliku Ni familia ya watoto wakorofi kishenzi isipokua Hussein tu.ndio alikua mstaarabu wao walikua hawaogopi kitu walikua na mishare mikuki marungu yaan wakivamia kundi mfano wakiwafata talent squd unaweza sema ni vita ya wavietinam na rambo
Duh ni hatari sana
 
Hamidu alikaa Segedansi kama miezi minane hivi.Nadhani ilikuwa mwaka 2015.Alimdhulumu laptop bro mmoja hivi MTU wa system halafu alikuwa na affiliation na watu wa doxii.Jamaa akamletea wazee.Alikaa ndani muda mrefu sana.Hata baba ake Mzee Njohoka wakati anavuta hadi anaenda kuzikwa kwao Songea ,Hamidu alikuwa Ndichi
we msela sana
 
Wewe ushawahi sikia mkoani kuna vikundi vya kijingajinga hivyo? Mara Tembo,mara sijui panya road mara sijui nn yoso? Hebu kuweni majasili aiseee acheni kula chips na kuku matahira na burger.
Watoto wa mkoa wachovu na wamezubaa wanaweza anzisha panyaroad kweli
 
Watu wa Arusha hawapo humu ndani nao watupe inside info
 
watoto wa kota hawafahamu hizi,kutoka jasho tu mtihani
ila hilo eneo,mabibo,ubungo,mazense ,mburahati,relini.kwa misimu tofauti tofauti yalikuwa hatari,ila kwa sasa kuna mtu azadini ubungo kibangu.
 
watoto wa kota hawafahamu hizi,kutoka jasho tu mtihani
ila hilo eneo,mabibo,ubungo,mazense ,mburahati,relini.kwa misimu tofauti tofauti yalikuwa hatari,ila kwa sasa kuna mtu azadini ubungo kibangu.
Azadin mdogo wake Shafii au Azadin yupi?
 
huwezi kuelewa... hizi story tunazielewa sisi tu watoto wa kihuni tuliokuwa familiar na wahuni wa mitaa ya ubungo, mabibo, kigogo na manzese.
Nyie wahuni wa kishamba sana, sisi tulikiwa tunatandika sana mkija kule mafichoni kwa akina mzee mbegu
 
Watu wa Arusha hawapo humu ndani nao watupe inside info
hao waoza meno wachumba tu... huwezi kuwalinganisha na watoto wa kihuni wa neighbourhood za dar.

kuna watu walifanya matukio mwishoni mwa miaka ya 90,mwanzaoni na katikati mwa miaka ya 2000 na record zao hazijavunjwa mpaka leo.
 
Uyo hamidu Alikuwa mbavu??
Hamidu ni wa kawaida tu sio mbavu.Ukimuona ni tofauti na jina lake lilivyokuwa kubwa kwa matukio.Uzito wake havuki kilo 68.Ila inasemekana ana mshipa wa nguvu,halafu amekomaa nunda.
Fani yake ni dereva mzuri tu wa malori makubwa ya mizigo.
 
Kuna mtt mwingine alikua mbabe wa pale kipembawe nae nasikia alikulaga shaba ya mguu sasa sijui naye anaendeleaje
 
Back
Top Bottom