jike la simba
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 494
- 347
Ndio amekatwa mguu malipo hapa hapa duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unaweza kutuambia hiyo buswelu nyo--- ko ni ya miaka gani?? Kwenye 60-70 huko au?? Toka 1990-2010 nipo mwanza naijua, Igogo, isamilo, mirongo, nyakabungo, mwnz sec vita inahamia kule juu nyashana,, hiyo buswelu miaka IPI?? Huenda we mhenga..Niliwahi kuishi Mwanza pale mabatini kwenye kambi ya FFU way back.. Pale Mabatini Nyumba kama hakuna mtoto kahaba anaejiuza basi kuna wanauza gongo.
Nakumbuka watoto wa Sakala wale kulwa na dotto na crew lao wakipambana na Manyilizu waliowafuata hadi kwao pale mabatini..ilikuwa Kosovo kama la dakika tano tu but damu ilikuwa inanuka hadi hewani ni mwendo wa bisibisi, mapanga, minyororo ya baiskeli, vyupa vya bia vinapishana tu hewani.
At that time nishakuwa na roho ngumu sana maana nilisoma shule ya Buswelu way back tunaitwa Mabush runner kipindi hicho shule yetu ilikuwa ina vurugu kuliko shule yeyote ile Mwanza inamilikiwa na wakulima unakuta mwanafunzi wa form one ana miaka 29 kudadadeki na mshkaji wangu alishapigwaga na shoka likazama kichwani tukiwa kwenye michezo na Lake secondary..nilijikuta na Mimi nimekuwa Mafioso tu ili kujihami. Daah!
Those days were horrible sana.
Utemi wao waliufanya miaka ya 2006 hadi miaka ya 2010s baada ya mzee wao kufariki na wao pia walinusurika kuuawa ila mmojawao alishafariki.iliku Ni familia ya watoto wakorofi kishenzi isipokua Hussein tu.ndio alikua mstaarabu wao walikua hawaogopi kitu walikua na mishare mikuki marungu yaan wakivamia kundi mfano wakiwafata talent squd unaweza sema ni vita ya wavietinam na ramboNimekuwa interested na story ya hao mapacha wa sakala.Walikuwa kina nani hao ? What were they doing ? Age ? I mean walifanya utemi wao kipindi gani?
Ahahaha! Tupe mikasa kijana.Geseco ilikuwa zaidi ya Torabora
Nyashana ulikua unawakuta Mbugani sec ambao watoto wengi wa ile shule walikua wa mabatin uswahilini rufiji na uhuru na wengine watoto wa washashi genge la masamaki. Sema kule vita ilikua sio saana sabab ya kambi ya jeshiMkuu unaweza kutuambia hiyo buswelu nyo--- ko ni ya miaka gani?? Kwenye 60-70 huko au?? Toka 1990-2010 nipo mwanza naijua, Igogo, isamilo, mirongo, nyakabungo, mwnz sec vita inahamia kule juu nyashana,, hiyo buswelu miaka IPI?? Huenda we mhenga..
Duh ni hatari sanaUtemi wao waliufanya miaka ya 2006 hadi miaka ya 2010s baada ya mzee wao kufariki na wao pia walinusurika kuuawa ila mmojawao alishafariki.iliku Ni familia ya watoto wakorofi kishenzi isipokua Hussein tu.ndio alikua mstaarabu wao walikua hawaogopi kitu walikua na mishare mikuki marungu yaan wakivamia kundi mfano wakiwafata talent squd unaweza sema ni vita ya wavietinam na rambo
we msela sanaHamidu alikaa Segedansi kama miezi minane hivi.Nadhani ilikuwa mwaka 2015.Alimdhulumu laptop bro mmoja hivi MTU wa system halafu alikuwa na affiliation na watu wa doxii.Jamaa akamletea wazee.Alikaa ndani muda mrefu sana.Hata baba ake Mzee Njohoka wakati anavuta hadi anaenda kuzikwa kwao Songea ,Hamidu alikuwa Ndichi
Sio kweli.Kwa hiyo habari za kukatwa mguu ni uzushi?
mbaya sana kufukua makaburi, haya mapichapicha ya nini kama amebadilika na amekuwa muungwana?yupo na kajaa tele ila utu uzima unazidi kuchukua nafasi....siku hizi kawa mtu muungwana sana.
kawa dingile. View attachment 739972
Watoto wa mkoa wachovu na wamezubaa wanaweza anzisha panyaroad kweliWewe ushawahi sikia mkoani kuna vikundi vya kijingajinga hivyo? Mara Tembo,mara sijui panya road mara sijui nn yoso? Hebu kuweni majasili aiseee acheni kula chips na kuku matahira na burger.
Jidanganye hivyo hivyo, njoo mkoa uone wanaume walioumbwa na Mungu sio wala chips wala burger.Watoto wa mkoa wachovu na wamezubaa wanaweza anzisha panyaroad kweli
Azadin mdogo wake Shafii au Azadin yupi?watoto wa kota hawafahamu hizi,kutoka jasho tu mtihani
ila hilo eneo,mabibo,ubungo,mazense ,mburahati,relini.kwa misimu tofauti tofauti yalikuwa hatari,ila kwa sasa kuna mtu azadini ubungo kibangu.
Nyie wahuni wa kishamba sana, sisi tulikiwa tunatandika sana mkija kule mafichoni kwa akina mzee mbeguhuwezi kuelewa... hizi story tunazielewa sisi tu watoto wa kihuni tuliokuwa familiar na wahuni wa mitaa ya ubungo, mabibo, kigogo na manzese.
Nin kocha wa friends rangersHivi Hero Mzozo yupo?Somebody told me amekuwa MTU wa mkeka
hao waoza meno wachumba tu... huwezi kuwalinganisha na watoto wa kihuni wa neighbourhood za dar.Watu wa Arusha hawapo humu ndani nao watupe inside info
Hamidu ni wa kawaida tu sio mbavu.Ukimuona ni tofauti na jina lake lilivyokuwa kubwa kwa matukio.Uzito wake havuki kilo 68.Ila inasemekana ana mshipa wa nguvu,halafu amekomaa nunda.Uyo hamidu Alikuwa mbavu??