Tetesi: Nasikia Hamidu Matembo amekatwa mguu?

Tetesi: Nasikia Hamidu Matembo amekatwa mguu?

Ila Hamidu pamoja na uhuni wote,ni mtu mpenda haki sana.Hata kama ulikuwa umeibiwa simu,ukimfuata Hamidu kulikuwa na uwezekano wa kuipata simu yako.Kandahar zone wanajua hilo.
Ila kuna siku alipigwa na ustadh mmoja hivi wale wa kuvaa kanzu fupi pale stendi ya shamba.
Huyo ustadhi atakuwa yupo njema sana
 
Ustaadhi itakuwa alishawahi kucheza michezo ya kichina
 
huyo mseng.e mkono wake una 'muku'ukila light moja hurudi...mzozo alikuwa anatiririsha defenda inasepa..naon siku hiz tagi kwa madogo..ukienda bar mpya utaon wakina jibaba,wakutimba,iddi bonge tongololo,..wakali wa danta..watu bado wanasumbua.
Bar mpya ipi jombaa Zimbabwe pub? Kama in hiyo sisi ndio wafunguzi wa awali kabisa sijui OK bar dany star sarimbo chidya kwa machoko tupa kule.
 
huyo mseng.e mkono wake una 'muku'ukila light moja hurudi...mzozo alikuwa anatiririsha defenda inasepa..naon siku hiz tagi kwa madogo..ukienda bar mpya utaon wakina jibaba,wakutimba,iddi bonge tongololo,..wakali wa danta..watu bado wanasumbua.
Danta ndo nini
 
hilo tumbo ni kwasababu ya umri kuanza kumtupa mkono,ila jamaa bado ana ubavu usio wa kawaida.

enzi za ujana wake alikuwa na umbo la kimazoezi.
View attachment 740340

acha nikupe assignment ndogo.
mara nyingi heri mzozo huwa anapatikana uwanja wa taifa siku inapocheza azam fc au siku kunapokuwa na game kubwa ya simba vs yanga.

heri hupenda kukaa jukwaa la simba. hata mechi ijayo ya simba vs yanga ambayo itachezwa tarehe 29/04/2018, heri atakuwepo jukwaa la simba.

sasa assignment yangu ni wewe umsogolee halafu mtupie maneno ya karaha kuhusu tumbo lake.

nitakuwepo uwanjani na ki-IST changu nikisubiri kukubeba kukuwaisha hospital.
Acha fix wewe huyo heri nilishamkalisha ga mateke mawili tu ya mbavu akakaa chini anakohoa damu anashindwa hata
Kusimama nilimpasua baada ya kutaka kunipora malaya wa kiarabu bar
 
vipi kuhusu dame wa sinza?... hujawawi msikia?... maana mwenge na sinza ni maeneo jirani.
Dame mkobo, alikuwa na mdogo wake anajiita haji mbabe, walituanzishia timbwili msikiti wa sinza palestina sitakaa nisahau, ila kuna siku dame alipigana na fike wilson(mfike) ilikuwa balaa pale sinza kijiweni, mfike alikuwa anaandaa mashindano ya mr tz kila mwaka ushindi anajipa yeye tu
 
Huyo ustadhi atakuwa yupo njema sana
Ugomvi ulikuwa hivi:
Ustadh alikuwa kapanda coster ya kwenda Chalinze,na ipo level seats.Coster inachelewa kuondoka wanajaziajazia vichwa.Ustadh akamaind,yakaanza matusi kati ya konda na ustadh.Wazee wa kitengo,tembo Hamidu akaingilia mzozo kwa ubabe na matusi juu.Ustadh akaona isiwe tabu akashuka likawekwa pambano mtu mbili tu.
Hamidu karusha kitasa ustadh akakiona kakwepa akampa ngumi mbili takatifu za kidevu tembo Hamidu chalii.Wahuni wote wakasambaratika.
 
huyo mseng.e mkono wake una 'muku'ukila light moja hurudi...mzozo alikuwa anatiririsha defenda inasepa..naon siku hiz tagi kwa madogo..ukienda bar mpya utaon wakina jibaba,wakutimba,iddi bonge tongololo,..wakali wa danta..watu bado wanasumbua.
Dah..."Muku"....umenikumbusha nikiwa junki tanga...ukiskia mtu ana muku...huthubutu kurusha ngumi....[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Ugomvi ulikuwa hivi:
Ustadh alikuwa kapanda coster ya kwenda Chalinze,na ipo level seats.Coster inachelewa kuondoka wanajaziajazia vichwa.Ustadh akamaind,yakaanza matusi kati ya konda na ustadh.Wazee wa kitengo,tembo Hamidu akaingilia mzozo kwa ubabe na matusi juu.Ustadh akaona isiwe tabu akashuka likawekwa pambano mtu mbili tu.
Hamidu karusha kitasa ustadh akakiona kakwepa akampa ngumi mbili takatifu za kidevu tembo Hamidu chalii.Wahuni wote wakasambaratika.
Uyo hamidu Alikuwa mbavu??
 
Hamidu alikaa Segedansi kama miezi minane hivi.Nadhani ilikuwa mwaka 2015.Alimdhulumu laptop bro mmoja hivi MTU wa system halafu alikuwa na affiliation na watu wa doxii.Jamaa akamletea wazee.Alikaa ndani muda mrefu sana.Hata baba ake Mzee Njohoka wakati anavuta hadi anaenda kuzikwa kwao Songea ,Hamidu alikuwa Ndichi
Duuuh!!!
 
Mzozo yuko na friends Ranger yake, ila pia anauhusika fulani na Azam siunajua tena yeye ni moja ya waanzilishi wa Azam yuko karibu kiasi na watoto bakhressa..
Issue za Hamidu Kalapina anaweza kuzijua vizuri maana kunakipindi katikati miaka ya 2014/15/17 walikuwa marafiki sana kati ya Kalapina, Hamidu na marehemu Thomas Mashari..Japokuwa kuna kipindi nilisikia Hamidu yuko Segerea..
Kalapina Mzee wa Kikosi
 
Niliwahi kuishi Mwanza pale mabatini kwenye kambi ya FFU way back.. Pale Mabatini Nyumba kama hakuna mtoto kahaba anaejiuza basi kuna wanauza gongo.

Nakumbuka watoto wa Sakala wale kulwa na dotto na crew lao wakipambana na Manyilizu waliowafuata hadi kwao pale mabatini..ilikuwa Kosovo kama la dakika tano tu but damu ilikuwa inanuka hadi hewani ni mwendo wa bisibisi, mapanga, minyororo ya baiskeli, vyupa vya bia vinapishana tu hewani.

At that time nishakuwa na roho ngumu sana maana nilisoma shule ya Buswelu way back tunaitwa Mabush runner kipindi hicho shule yetu ilikuwa ina vurugu kuliko shule yeyote ile Mwanza inamilikiwa na wakulima unakuta mwanafunzi wa form one ana miaka 29 kudadadeki na mshkaji wangu alishapigwaga na shoka likazama kichwani tukiwa kwenye michezo na Lake secondary..nilijikuta na Mimi nimekuwa Mafioso tu ili kujihami. Daah!

Those days were horrible sana.
Geseco ilikuwa zaidi ya Torabora
 
Back
Top Bottom