Tetesi: Nasikia Hamidu Matembo amekatwa mguu?

Tetesi: Nasikia Hamidu Matembo amekatwa mguu?

Kama kawaida yenu wanaume wa Dar kudadeq zenu, yaani vitoto vinajikusanya huko mtaani midume mizima mnaogopa kuvitia adabu,
Mkoa wanakamatwa wa3 ama wanne wanachomwa moto uwo mchezo unaisha
 
Nyashana ulikua unawakuta Mbugani sec ambao watoto wengi wa ile shule walikua wa mabatin uswahilini rufiji na uhuru na wengine watoto wa washashi genge la masamaki. Sema kule vita ilikua sio saana sabab ya kambi ya jeshi
Wewe lazima utakua wa mitaa ya Ghana Mjimwema au Mabatini
 
Hamidu alikaa Segedansi kama miezi minane hivi.Nadhani ilikuwa mwaka 2015.Alimdhulumu laptop bro mmoja hivi MTU wa system halafu alikuwa na affiliation na watu wa doxii.Jamaa akamletea wazee.Alikaa ndani muda mrefu sana.Hata baba ake Mzee Njohoka wakati anavuta hadi anaenda kuzikwa kwao Songea ,Hamidu alikuwa Ndichi
Segadansi = Segerea
Doxii = Usalama wa taifa
Wazee = Askari
Anavuta = anakufa
Ndichi = Ndani
 
Wewe ushawahi sikia mkoani kuna vikundi vya kijingajinga hivyo? Mara Tembo,mara sijui panya road mara sijui nn yoso? Hebu kuweni majasili aiseee acheni kula chips na kuku matahira na burger.
Wakorea wanatokea Dar au wapi???? Karibu Dar mlugaluga mkiwa watoto ndio ilikua ndoto yenu kukanyaga down town
 
Aise mie nimeingia Dar tangu 2000 lakini huyo jamaa simjui aise,na niliishi maghorofani hapo Mwenge jeshini block H kwa bi mkubwa but sikuwahi kulisikia hilo kundi aloh!
Mwenge na kagera wapi na wapi?
Hapo maeneo sahii ni Ubungo, Urafiki, M'burahati, bibo, manzese, kagera mikoroshini, chai, usalama ma mapipa.
 
Geseco ilikuwa zaidi ya Torabora
True mkuu, though sikuikuta geseco ikiwa kwenye pick yake lkn niliyo ya shuhudia na stories za yaliyopita kiukweli zinatisha mfano lile bweni linaitwa mochwari naskia kuna dereva tax aliuawa na wanafunzi mule, anyway niliinjoy kuiishi kwakivuli cha historia ya ubabe, kitaa wakijua wewe ni mwafunzi wa GESECO basis heshima tu.
 
Duh kama humjui humjui tu
Mshahara wa dhambi ni mauti. Km kavunjwa mguu kwa wizi hapo imekaa njema sana.
Fikiria. Umetoka kwenye mihangaiko yako unakuta kila kitu wameiba. Unafikiri utafikiria jambo gani? Wizi unarudisha maendeleo sana.
Kwenye mguu wamemuonea huruma sana. Huyo alitakiwa a-rest in peace.
 
True mkuu, though sikuikuta geseco ikiwa kwenye pick yake lkn niliyo ya shuhudia na stories za yaliyopita kiukweli zinatisha mfano lile bweni linaitwa mochwari naskia kuna dereva tax aliuawa na wanafunzi mule, anyway niliinjoy kuiishi kwakivuli cha historia ya ubabe, kitaa wakijua wewe ni mwafunzi wa GESECO basis heshima tu.
Ilikuwa shida Mkuu Buswelu wenyewe waliwahi kuja kucheza game wakashinda, Vitasa walivyochezea hawatasahau.
 
Nilichogundua hapa mtoa mada kama anitwa Hashimu.... basi hata yeye ni "Hashimu Matembo" kwa hizo lugha zake tu ni ushahidi tosha. Pole mtoa mada kwa kiongozia wako kukatwa mguu.
 
Dah, nimependa haya madtori ya wababe. Miaka ya 80s na 90s kulikuwa na,wababe nafikiri kwenye Mimi yote na kufikia 2000s mwanzoni mfumo umeanza kutoweka. Nakumbuka Songea wababe wa miaka hiyo wslikufa wengi baada ya mfumo, umri na Wao kuhamia kwenye wizi. Ola walienjoy sana. Wale wsliofanikiwa kusafiri kwenda dar, MBEYA na kurejea walikuwa na SHIDA sana. VIJANA waliopelekwa boadibg school wakirejea ni sheedah. Enzi hizo kupata madem hsikuwa rahisi. Wababe tu wslifanikiwa tena kibabe.
Kina mbabe mmoja kwa aliwahi kuporwa demu wake kilabuni, alichoamua ni kwenda home kwa dem, nyumba ya nyasi, akaingia GETO kwa dem kupitia kwenye paa alipanua nyasi akazama kimyaaa!! Mbabe wake katia timu pale kwa duu, wanafurnua mlango tu, mbabe alikupewa ngumu moja nzito, akaka chini hoiii. Jamaa kuchukua demu kala mzigo. Day 2 ilikuwa hatari zaidi. Acheni kabisa haya mambo. Siku hz hakuna wababe kimsingi.
 
shida ya vijana wa mikoani au wale mliongia dar mkiwa watu wazima ni ushamba na kukosa exposure.

matokeo yake mnaishia kutulaumu sisi vijana wa "don town" kana kwamba ndio tuliowasababishia matatizo yenu ya huko mikoani.

povu ruksa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama hiyo ni " exposure" basi habari ya viwanda isubiri awamu ya kumi!
 
Back
Top Bottom