Nasikia ile project ya Clouds Media imebuma; pole sana Ruge

Nasikia ile project ya Clouds Media imebuma; pole sana Ruge

Biashara ni fitna, mtamuona Ruge ni mtu wa hovyo lakini waliopo ndani ya industry ya biashara ya kina Ruge watamwelewa, anacho kifanya ni sahihi

Watu wanacho kiangalia ni kutengeneza profit na watumie njia gani iwe -halali
-haramu ili mradi kampuni yao inasonga mbele..

Hii dunia inaendeshwa kipepari, sasa hivi hakuna mfanya biashara anae kubali kuendesha biashara kiujamaa...

Ruge siyo mpuuzi apply sera ya kijamaa kwenye kampuni anayo isimamia... Clouds first..
Clouds fm... Itaendelea kuwa great media forever
 
Wasafi wajanja sana
Wana timu kubwa sana ya kutafuta viewers. Yaani nyimbo ikitoka, ndo mnaanza kutukana wakubwa na kujifafanya mmekua.
Kama mmekua, endesheni muziki kimya kimya sio kupitia migongo ya watu
 
50% ya watanzania wote wanasikiliza clouds
50%iliyobaki wanagawana Akina majizo na vijiredio vyote
ebu acha kabisa hayo mawazo redio inamatangazo ya biashara tu yaani mziki mmoja yakifata matangazo mpk kinyaa

redio zinazosikilizwa sana sio hio eat africa utaiacha wap njoo free africa na nyingine kibao akina redio one
 
Kaanzisha TV yake na radio ajipigie mwenyewe promo..acha kulialia
 
Hawa jamaa wapyuuzi sana!!Ngoja sie tuendelee kuburudika na wimbo wa Taifa Kwangwaru huku Iyena ikiendelea kushika kasi!!
 
Wasafi wajanja sana
Wana timu kubwa sana ya kutafuta viewers. Yaani nyimbo ikitoka, ndo mnaanza kutukana wakubwa na kujifafanya mmekua.
Kama mmekua, endesheni muziki kimya kimya sio kupitia migongo ya watu
Mfano hapa leo hiyo link wameongeza viewer kupitia JF.
 
Yani mashabiki kwa kudandia treni hatujambo na kwa kuwa wasemaji wa taasisi hatujambo pia....ambao.hatuna upande tuna angalia ni wapi hii game itaishia
 
Back
Top Bottom